Wahindi na Chenji: Je, ni kweli hawatoi chenji kwa mkono wa kulia?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahindi na Chenji: Je, ni kweli hawatoi chenji kwa mkono wa kulia?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Steve Dii, Jun 25, 2009.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kuna mtu aliniambia zamani kwamba Wahindi (wengi) hawawezi kukupatia chenji yako mtu mweusi (Mwafrika) baada ya kununua kitu dukani mwao kupitia mkono wao wa kulia. Niliambiwa sababu ni kwamba, wanaamini kufanya hivyo kwao ni kujitia mikosi katika biashara zao.

  Nimeshaenda sehemu nyingi kwenye maduka yao, mara nyingi ni kweli kwamba kila nilipokutana na mhudumu wa Kihindi, chenji yako anakupatia kupitia mkono wa kushoto. Asipofanya hivyo basi anaiweka chenji juu ya meza kwenye counter.

  Nilishawahi kukoromea wawili watatu hivi. But experience yangu inanipelekea kuamini kuwa hii labda ni kweli.

  Nawaulizeni wana JF, je ni kweli hili jambo? Kuna mwenye habari zaidi kuhusiana na hili na vituko viendanavyo nalo?! Tuhabarishane wajameni.
   
 2. nkawa

  nkawa Senior Member

  #2
  Jun 25, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duu mkuu itabidi nifuatilie na mimi nione kama ni kweli...ila dawa yao ni ndogo tu na wewe wakati wa kulipa mpe pesa kwa kutumia mkono wa kushoto au iweke juu ya counter...halafu nipe matokeo
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Jaribu tafadhali.... kisha tuambie utakayokutana nayo.
   
 4. M

  Mchagaa Member

  #4
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 31, 2007
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli umenena. Wahindi ni wajanja sana kwa madawa. Hata madukani utaona wamemketisha paka mkubwa mweusi au mweupe sana aliyeketi juu ya counter kanenepa kibao. Huwa ni paka wa kuleta mteja na mradi mzuri dukani. tembelea maduka ya Dar au Nairobi kele Biashara Street walikomiliki. Nitachunguza sana swala la chenji. Ukitaka mganga mzuri nasikia mtembelee mhindi ila kama wewe sio mhindi basi huoni ndani mwenzangu. Wanajiganga wenyewe kwa wenyewe tu.
   
 5. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  This weekend nilikuwa kwenye duka la dhahabu la wahindi na nimerudishiwa chenji kwa mkono wa kulia....labda hao wahindi wanaorudisha chenji kwa mkono wa kushoto wanaweza kuwa left handed....
   
 6. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,069
  Likes Received: 15,692
  Trophy Points: 280
  Kama wanatoa kwa mkono wa kushoto au kuweka kaunta ni dharau tu na wala sio kwamba wana imani yoyote
   
 7. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Hii ya kuweka chenji kwenye counter inaniudhii sana mtu unampa pesa mkononi then yeye anakurudishia then anaweka kwenye counter uuuugh!...hii tabia wanayo sana wazungu......siku hizi na mimi naweka kwenye counter......
   
Loading...