Poxino
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 727
- 53
GEST KAUKUMBI NA BAR INAPANGISHWA.gest inapangishwa bei kwa mwezi mil 1nalaki 2 kodi anatakiwa yamwaka ipo temeke juu ya uwanja wa taifa matengenezo yote juu ya mwenye nyumba ofa mwezi mmoja bure ni mpya VYUMBA 11 Self contena 6 vya kawaida 5 kauta ya nje nyoo vya nje 2 mabafu 2 kuna ukumbi wa kuingia watu 70 na bar mimi ni mwenyewe mmiliki sio dalali marumaru nyumba nzima mpaka chooni madirisha ya vioo karibu +255712690760,+255755984282