Waheshimiwa Wazee wastaafu wetu mko wapi?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,373
73,975
Mzee Warioba, Butiku, Mkapa, Kikwete, and a few other high ranking retirees! Mmekaa kimya as if nchi mliyokabidiwa iko salama kwa vizazi hivi na vijavyo! As if hakuna lolote la kukemea, kushauri etc. As if kila kitu ni chema kama mlivyokiacha.

Kuleni pensheni zenu lakini mjue mna deni kubwa mbele ya Mwenyezi mungu, maana nyote huwa mnamnena Mungu sana kwenye vinywa vyenu! Bado mko hai, nchi hii bado iko kwenye dhamana yenu!
 
Jinsi unavyo ongea kwa hisia utadhani labda tz inaungua moto.Kaa nyumbani,korona ipo na itaendelea kuwepo.
 
Nilichoelewa katika vita hii ya corona serikali inatunia hatua na nguvu nyingi zisizo gharimu pesa nyingi.

Wale wahudumu 600 walioajiriwa kuhudumia corona mitaani wana elimu ya afya? Wameshindwa kutoa ajira ya miezi sita kwa madaktari wasio na ajira?
 
Mzee Warioba, Butiku, Mkapa, Kikwete, and a few other high ranking retirees! Mmekaa kimya as if nchi mliyokabidiwa iko salama kwa vizazi hivi na vijavyo! As if hakuna lolote la kukemea, kushauri etc. As if kila kitu ni chema kama mlivyokiacha.

Kuleni pensheni zenu lakini mjue mna deni kubwa mbele ya Mwenyezi mungu, maana nyote huwa mnamnena Mungu sana kwenye vinywa vyenu! Bado mko hai, nchi hii bado iko kwenye dhamana yenu!
Hao ni wanufaika hawalali njaa Kama wwe, waafrika hatuna utamaduni wa kuwajali wengine wenye shida huwa tunajiangalia shibe yetu,labda wakipigwa njaa.

Kuna mtu hapo anajali maslai ya familia yake akipaza sauti means ni lzm mtoto wake atumbuliwe pili hao Wana makando kando mengi wanaogopa uhujumu uchumi.Tatizo ni mfumo mbovu wa kofia mbili ndio kitanzi ulionywa hawakusikia hata Nyerere angekuwepo asingefanya kitu angefunua mdomo tu yangemkuta.Shida ni mfumo hata waliopo Sasa bila kubadili mfumo wakishastaafu yatawakuta na wao
 
Mzee Warioba, Butiku, Mkapa, Kikwete, and a few other high ranking retirees! Mmekaa kimya as if nchi mliyokabidiwa iko salama kwa vizazi hivi na vijavyo! As if hakuna lolote la kukemea, kushauri etc. As if kila kitu ni chema kama mlivyokiacha.

Kuleni pensheni zenu lakini mjue mna deni kubwa mbele ya Mwenyezi mungu, maana nyote huwa mnamnena Mungu sana kwenye vinywa vyenu! Bado mko hai, nchi hii bado iko kwenye dhamana yenu!
Wamejifungua wanaogopa Corona, na wewe jifungie, Ndugu yangu najua unalilia Lockdown, hata hao walio Lockdown wanatoka nje, Cha msingi ni kukubali kuishi na huu ugonjwa, Tufuate taratibu, tunawe mikono, tuvae Barakoa, keep social Distance, huna la kukufanya uvulule kaa nyumbani, ndani ya siku kumi utaona nchi zote wanaondoa Lockdown.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwaunge mkono wazee hawa kumpa moyo mzee baba kufahamu wanaopona kelele kuhusiana na ugonjwa huu ni wazalendo sana.

Waraka wa wazi kwa Marais wetu Wastaafu kuhusiana na hali ya Corona nchini - JamiiForums
 
Mzee Warioba, Butiku, Mkapa, Kikwete, and a few other high ranking retirees! Mmekaa kimya as if nchi mliyokabidiwa iko salama kwa vizazi hivi na vijavyo! As if hakuna lolote la kukemea, kushauri etc. As if kila kitu ni chema kama mlivyokiacha.

Kuleni pensheni zenu lakini mjue mna deni kubwa mbele ya Mwenyezi mungu, maana nyote huwa mnamnena Mungu sana kwenye vinywa vyenu! Bado mko hai, nchi hii bado iko kwenye dhamana yenu!
In the meantime, prof. Safari kasema chadema imejifia.
 
Akatazwi mtu kujilockdown au kujilockup shughuli za uchumi lzm ziendelee watu wafate kanuni za afya
Wamejifungua wanaogopa Corona, na wewe jifungie, Ndugu yangu najua unalilia Lockdown, hata hao walio Lockdown wanatoka nje, Cha msingi ni kukubali kuishi na huu ugonjwa, Tufuate taratibu, tunawe mikono, tuvae Barakoa, keep social Distance, huna la kukufanya uvulule kaa nyumbani, ndani ya siku kumi utaona nchi zote wanaondoa Lockdown.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Warioba, Butiku, Mkapa, Kikwete, and a few other high ranking retirees! Mmekaa kimya as if nchi mliyokabidiwa iko salama kwa vizazi hivi na vijavyo! As if hakuna lolote la kukemea, kushauri etc. As if kila kitu ni chema kama mlivyokiacha.

Kuleni pensheni zenu lakini mjue mna deni kubwa mbele ya Mwenyezi mungu, maana nyote huwa mnamnena Mungu sana kwenye vinywa vyenu! Bado mko hai, nchi hii bado iko kwenye dhamana yenu!
Mfumo mbovu,mfumo sahihi ni Kama ule wa ANC, means Hakuna aliyemkubwa kuliko nchi au chama.Kofia lzm zitenganishwe ili iwe rahisi kuthibitiana waafrika hatuna uwezo binafsi wa kujisimamia ni lzm tuumize wengine.Mwafrika yeyeto asipowekewa mfumo wa kumdhibiti ni lzm atawaumiza wengine,ni lzm ataleta umasikini,ni lzm atajifisadi kwa kutumia vibaya Kodi za wananchi,vibaya madaraka hii ni nature.Kuwe na mfumo ambao wanachama wanaweza mfuta mwenyekiti, mwenyekiti asiwe juu ya wanachama.Mfano ukiwa rais ukikiuka chama unafutwa uanachama na uraisi unakoma hapohapo.Hii uleta nidhamu ya uongozi ambayo italeta maendeleo.
Screenshot_20200518_071225.jpg
 
Mfumo mbovu,mfumo sahihi ni Kama ule wa ANC, means Hakuna aliyemkubwa kuliko nchi au chama.Kofia lzm zitenganishwe ili iwe rahisi kuthibitiana waafrika hatuna uwezo binafsi wa kujisimamia ni lzm tuumize wengine.Mwafrika yeyeto asipowekewa mfumo wa kumdhibiti ni lzm atawaumiza wengine,ni lzm ataleta umasikini,ni lzm atajifisadi kwa kutumia vibaya Kodi za wananchi,vibaya madaraka hii ni nature.Kuwe na mfumo ambao wanachama wanaweza mfuta mwenyekiti, mwenyekiti asiwe juu ya wanachama.Mfano ukiwa rais ukikiuka chama unafutwa uanachama na uraisi unakoma hapohapo.Hii uleta nidhamu ya uongozi ambayo italeta maendeleo.View attachment 1453100
asante kwa quote nzuri sana
 
Back
Top Bottom