WAHESHIMIWA WABUNGE: Twaweza Kuibadilisha Nchi yetu kwa KUTUMIA POSHO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WAHESHIMIWA WABUNGE: Twaweza Kuibadilisha Nchi yetu kwa KUTUMIA POSHO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SolarPower, Jun 24, 2011.

 1. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Napenda Waheshimiwa Wabunge wetu watambue kuwa kama wakiamua kwa kushirikiana na Serikali tunaweza kabisa na ndani ya muda wa kati kuifanya nchi yetu kuwa tofauti kabisa na ilivyo sasa.

  Kutokana na ukweli kuwa kiwango cha posho kwa mwaka mmoja tu wa fedha ni zaidi ya shilingi bilioni 600 (ambazo ni zaidi ya matrekta 24,000 kwa bei za SUMA JKT pale Mwenge). Napendekeza tufute kabisa POSHO kama Taifa na badala yake tufute jembe la MKONO NA NJAA NDANI YA MIAKA 5 IJAYO KWA KUNUNUA MATREKA 24,000 KILA MWAKA KWA AJILI YA WAKULIMA WETU.

  KWA MPANGO HUU, NDANI YA MIAKA MITANO IJAYO KILA MKOA (PAMOJA NA MIKOA MIPYA) HAPA NCHINI UTAKUWA NA MATREKTA YASIYOPUNGUA 4,000. SUALA LA MBEGU BORA NA UKULIMA WA KISASA VIMEZINGATIWA KATIKA PENDEKEZO HILI.
   
 2. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa upande mwingine kuna haja kama taifa kuwakopesha Wabunge na majimbo yao matreka kwa makubaliano maalum ili waweze kulima mashamba makubwa ya mfano.
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu mawazo mazuri, lakini kwa dhamira ya wazi wazee wa magamba nia yao ni kuhakikisha waTZ wanakuwa masikini wa kutupwa!Kilimo kwanza kwa powertiller ya 10M? Nikiangalia pale kijijini samunge, nani anaweza kununua powertiller? Watch this space
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu nakubaliana na mawazo wako lakini sijui kama wabunge wetu wanadhamira ya kweli kuwaokoa Watanzania zaidi ya ubinafsi
   
 5. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo ndiyo penye tatizo. Wakibadilika na kuamua kuwa mfano katika kuzalisha mali kwa kushirikiana na Watanzania watatusaidia sana.
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwani viongozi wana ruhusiwa kulima? si ndio yale yale aki orodhesha mali wakiona ana shamba hekari 100 watamwita fisadi
   
 7. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Well said, lakini pia itasaidia kuwepo maofisini muda mwingi na hivyo kutoa maamuzi bora na kwa wakati kwa maendeleo ya taifa.
   
 8. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  He ritz kumbe na we umo eh?
   
 9. M

  MWAMBANDE New Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa hawatuonei huruma na kura zao za ndio au hapana bungeni. sababu kunawengine hata siyo vitu vya maana wanakubaliana navyo au sababu wako wegi wenyewe
   
 10. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli ulichokisema.
   
 11. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna sheria inayowakataza kulima na ni muhimu sana wakawa wawazi
   
 12. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #12
  Jul 1, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,001
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ni wewe kweli?
   
 13. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kutokana na ukweli kuwa katika nchi yetu eneo tunalolima kwa mwaka halizidi ekari milioni 26, maana yake ni kuwa tukiamua ndani ya miaka mitatu tunaweza kuondokana na jembe la mkono na kuweza kuongeza uzalishaji wa mazao mbali mbali kwa kiwango kikubwa. Hii itawezekana kama tukiwekeza angalau shilingi bilioni 360 kila mwaka kwa ajili ya ununuzi wa matrekta na vifaa vyake muhimu kama planter etc. Kwa uwekezaji huu wa ununuzi wa matrekta kila mwaka tutakuwa na uhakika wa kupata angalau matrekta 15,000 kila mwaka pamoja na vifaa vyake.
   
Loading...