Waheshimiwa Wabunge Sasa mtusaidie katika hili!!

Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
13,195
14,356
Wabunge wa bunge la JMT nawaombeni kwa taadhima na heshima kubwa sasa tuheshimiane kabisaaaa!! Hivi nyie watu ni lini mtatuheshimu? Kuanzia sasa naomba kabisa tuheshimiane kabisa!

Ili tuheshimiane ninawaomba mtuondolee hiki kirusi kilichovamia ikulu, nchi yetu hatuwezi kukubali tukaendelea kuongozwa na mgonjwa wa akili wakati maelekezo ya nini cha kufanya mnakifahamu.

Kazi ya kwanza mtakapokuwa Dodoma iwe ni kumwondoa kwa kura huyu jamaa, ibara ya 46A na kuendelea inawaelekeza kabisa utaratibu mzima wa kufanya ili kumwondoa huyu mlevi wa madaraka hapo alipo.

Haiwezekani mkuu akawa anajenga nidhamu ya hovyo hovyo hivyo kwenye utumishi wa umma, ni lini huyu anayebebwa atawaheshimu wakubwa zake? Anajenga nidhamu gani hii? Nchi inazidi kupinda badala ya kunyooka kama alivyokuwa anadai, sasa hivi uchumi ndo huo umeyumba mpaka mtu hutamani, mwondosheni huyu!!
 
Back
Top Bottom