Waheshimiwa wabunge kuongeza siku moja(1)wanalipwa posho,hiyo siku. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waheshimiwa wabunge kuongeza siku moja(1)wanalipwa posho,hiyo siku.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by chuku, Jul 24, 2009.

 1. c

  chuku Member

  #1
  Jul 24, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF,Waheshimiwa wabunge walisema wamepunguza siku za vikao,ili kupunguza matumi ya pesa ya walipa kodi sasa kwa nini wanapo ongeza siku wasisamehe hiyo posho kama kweli hawataki kuvuja sana pesa ya walipa kodi.
   
 2. Robweme

  Robweme Senior Member

  #2
  Jul 24, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu unauliza jibu, wewe unaweza kufanya kazi bila kulipwa, unataka wafanye kazi bila malipo eti, halafu familia zao utawapelekea mlo huo wa siku moja eti.
   
Loading...