Waheshimiwa; hivi huwa tunajisikiaje tunapoona hali hizi kwenye majimbo yetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waheshimiwa; hivi huwa tunajisikiaje tunapoona hali hizi kwenye majimbo yetu?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mkwai, Jun 17, 2012.

 1. Mkwai

  Mkwai JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  [​IMG][​IMG][​IMG]
   
 2. Mkwai

  Mkwai JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Binafsi najisikia vibaya sana. yaani hakuna namna yoyote tunaweza kufanya walau kubadili hali hizi za maisha?
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  hii thread ilitakiwa iwe kwenye jukwaa la picha. mia
   
 4. g

  gati Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwenye jukwaa la picha ili?!, kwani ikikaa hapa inaubaya gani?!
   
 5. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  Bado kuna waheshimia wataifagilia hii bajeti ya 2012/13 kwa kuiunga mkoano asilimia 100+ kana kwamba hii hali hawaioni - Mi inaniuma sana, haya bwana lakini wananchi hatupendi kabisa maisha ya std hii ndani ya karne ya 21, tutakutana mwaka 2015!
   
 6. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Hata kwetu yapo mambo hayo. Angalia hii Hospital

  [​IMG]

  NA HIZI ndio NYUMBA ZETU


  [​IMG][​IMG]

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   

  Attached Files:

 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Wao wanaona poa na hao wakipigwa na khanga, kofia, ubwabwa na t-shirt nao wanaona poa
   
 8. Kizamani

  Kizamani JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huwa najiuliza sana "ni kwanini ile mikoa ambayo ni ngome kuu ya CCM zina hali mbaya sana!" Lindi yenyewe iko taabani. Wana wabunge kweli?
   
Loading...