MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
1. Mwosha Huoshwa
2. Mficha Maradhi Kifo humuumbua
3. Malipo ni hapa hapa duniani
4. Mficha Uchi hazai ng'o
5. Siri ni ya Mmoja na si ya Wawili
6. Njia ya Muongo ni fupi sana
7. Lisemwalo lipo kama halipo basi laja
Naweza Kuamini kuwa Wahenga si tu walikuwa ni Manabii, lakini pia walikuwa ni Werevu na haya Maneno yao yanaishi (yanatokea) tena 100%.