Wahenga wa soka la Afika Mashariki na Kati,tukumbushane mastaa enzi hizo

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
10,561
19,056
Kenya kulikua na hawa:
Kipa Mahamoud Abas/ Washington Muhanji

Defenders : John Okello(Zangii), George Omondi(Fundi), JosephatMurila(SupeController),
Peter Otieno(Basanga), Mike Weche

Strikers: Ambrose Ayoi(Golden Boy), Wiberforce Mulamba na Dr JJ Masiga

Zimbabwe pia walikua wanakuja kucheza pande hizi za Cecafa wakiwa na wachezaji golikipa Japhet Mparutsa, David Mwanza , Sharkman Tauro, Stanley Ndunduma na wengineo

Chama la wana Malawi waliku na kina:
Golikipa: Clement Mkwalula
Walinzi : Dickson Mbetewa, Sesten Zakazaka,Harry Waya na Jack Chamangwana
Viungo: Young Chimodzi, Maloya Siriya
Strikers: Kina Phiri, Laurance Waya n.k

Zambia walikua na kizazi cha nyuma kidogo kina Peter Kaumba na Ashose Meluu(huyu alifariki pia kwenye ajali ya ndege iliyowaua KK 11 yeye akiwa ofisa katika msafara to Gabon). Hawa hawakufanya vizuri sana ila baadae kikaja kile kizazi cha dhahabu ambacho kilikua kinatesa sana CECAFA na Afrika kwa ujumla; Kina Efort Chabala(kipa), Herman Mulunga, Witson Nyirenda, Francis Musiska, Weby Chikabala, Debi Makinka, Numba Mwila, Moses Chikwalakwala n.k.
iIikua burudani sana kuwaona au hata kusikiliza matangazo ya moja kwa moja ya Radio Tanzania
 
Hapo katika hiyo team ya Taifa ya Malawi Goal Keeper ni Boniface Maganga
 
Kulikuwa na naomba 5 za ukweli.

Tanzania- Jella Mtagwa

Zambia- Dick Chama

Malawi- Jack Chamangwana.
 
Uko vizuri mkuu, kipa Boniface Maganga alikua hafungiki lakini umri ulipoenda nafasi yake ilikuja chukuliwa na Clement Mkwalula
Huyu Mkwalula alikuwa kwenye kikosi cha mwishomwisho cha Malawi kushiriki Cecafa Challenge cup na alikuwa anachezea Butter Bullets na akina Bakili Muwowo na Sosthenes Zakazaka. Nakumbuka nikiwa shule ya msingi nilikuwa goalkeeper na nilipachikwa jina la Clement Mkwalula.

Vv

Malawi walikua miaka yote wakija na timu tofauti lakini unashangaa wachezaji wengi ni wale wale. Kama hiyo Butter Bullets , CIVO, Silver Strikers n.k. Kuna team ilikua inaitwa Admark Tigers sikumbuku kama ilikua ya Malawi au Zimbabwe
 
Admark Tiger ndio alikuwa anachezea Sosthenes Zakazaka, wakati wakiwakikisha Malawi kwenye Klabu bingwa Afrika Mashariki nakumbuka Tanzania bingwa ilikuwa Pan Africa na mtangazaji ktk ile michuano alikuwa Ahmed Kipozi.

Vv
 
Mnakumbuka Malawi hii?
Boniface Maganga, Lawrence Waya, Harry Waya, Young Chimodzi, Jack Chamangwana, Kinnah Phiri, Lucky Msiska.

Kenya : Mahamoud Abas, Hussein Kheri, Bob Ogolla, Wilberforce Mulamba, Josephat Mulira, Peter Otieno 'Bassanga', John Arieno, Francis Kadenge.

Tanzania Bara : Juma Pondamali, Leopard Tasso Mukebezi, Leodger Tenga, Jellah Mtagwa, Peter Tino, Mohammed Salim, Michael Said.
 
Back
Top Bottom