Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
- Thread starter
- #21
Poa kaka...Tunapenda Rais Magufuli apate changamoto, asishinde kwa 100%
Poa kaka...Tunapenda Rais Magufuli apate changamoto, asishinde kwa 100%
Umepoa poa sana kama mtoto mdogo. Njoo CCM wewe chama la wajanja.Poa kaka...
Sina hulka ya kuwa mcharuko...Umepoa poa sana kama mtoto mdogo.
Milima ndo haikutani...hata sasa wapo pamoja tusikokujua.
Regardless of personal sh#tting status.Duuh. Ama kweli we are all moving to the known or unknown destinations, depending on what you believe
Uzalendo ni mapenzi ya dhati kwa taifa lako...Uzalendo ni nini
Kwa hyo Ben alikuwa na mapenzi kwa taifa letuUzalendo ni mapenzi ya dhati kwa taifa lako...
Swali gani sasa hili?Kwa hyo Ben alikuwa na mapenzi kwa taifa letu
Linahitaji majibu mkuuSwali gani sasa hili?
Uzalendo ni mapenzi ya dhati kwa taifa lako.Mwenye ujuvi naomba maelekezo
Uzalendo ni pamoja na kuipenda CCMUzalendo ni mapenzi ya dhati kwa taifa lako.
Kwa utendaji wa RAIS MAGUFULI Sisi kama watanzania tulipaswa kumuacha apite bila kupingwa , watanzania ,Afrika ,Dunia inajua Rais Magufuli atashinda kwa kishindo.Sina hulka ya kuwa mcharuko...
Magufuli anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa.Hakika mkuu...
Mabeberu yameanza kumpigia JPM magoti. Tuliwaonya Magufuli hajaribiwi.Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un