Wahenga tukumbushane Klorokwini na mambo yake

Huu mzigo mara ya mwisho ni 2014 hpo juzi tu nilipigwa malaria moja hatar
Vijana wa town wanakuambia malaria mbwa

Ilikuwa napiga drip moja chloroquine , drip mbili za maji aseeh

Hizo masikio zilikuwa zinaangusha biti hatar ni ziiiiiiiiiiiii ziiiiiiiii diiiiii

Hizi dawa zipo ukiumwa malaria ile yenyew hakuna jins nikukutana nazo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi ilituwasha baada ya kutumia utadhani ilikuwa na upupu ndani yake...ukimaliza kumeza unalamba sukari huku domo likijaa mate Maithili ya ndondocha
 
Back
Top Bottom