Wahenga tukumbushane 80’s movies

The Hard Way the Only Way
No retreat no Surrender
Eastern Condors
Black Sheep Affairs
Tears under the Sun
The gods must be crazy
 
Teri meri banian ndo jina lake halisi nataka niitafute aise nimeimis sana hii movie......Kpind hicho ilitufanya tufuge mbwa kilazima
 
Deadly heroes
who am I-j chan
no retreat no surrender
"paranawe" ya mark
mirror
saw
wrongturn
hell raiser
hostel
cheeper clippers
bat
mug
 
The body guard from Beijing
Like seven
Sister Act
Home alone
The baby is there out
John Commando
Solo
Rambo first Blood
School Bus
The Black mask - Jet Lee
Teri Meri banian a.k.a Mbwa ana revenge
Watoto kazi sana... heading inasema Movie za Miaka ya 80's wewe unaleta movie za majuzi juzi na za 80's 2 tu
 
Watoto kazi sana... heading inasema Movie za Miaka ya 80's wewe unaleta movie za majuzi juzi na za 80's 2 tu
The body guard fromBeijing ni ya mwaka 94, siyo juzi ina zaidi ya miaka 20 japo siyo ya 80s
Sister act ni ya mwaka 92
Home alone ya kwanza imetoka mwaka 90
Baby's day out nayo ya mwaka 90
John Commando ya mwaka 85
Solo ya mwaka 1996
rambo first blood ya mwaka 82.
Hizi movie zote nilizotaja zina zaidi ya miaka 20, hivi kwenu hata mwenye umri wa miaka 20bado ni mtoto kijana? Usiseme watoto ila sema kuwa nimenda off topic maana hizi movie japo siyo za miaka ya 80 ila zina muda sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom