Wahenga nini maana ya neno "utata" kwenye mahusiano

MZEE MOTO

Senior Member
Jul 19, 2017
108
102
Kuna mademu watatuita tofauti wamewahi kunambia mi mtata Sana, nikitaka kujua nini maana ya utata hawajibu zaidi ya kunizungusha, wahenga nijibuni tafadhal I...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hueleweki - blue unakomaa ni nyekundu.
- nyekundu unakomaa ni kijani
- kijani unakomaa ni nyeupe.
 
ubishi.....unaambiwa kitu flani elfu 20 we unakomaa utoe buku 3.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom