Ndikusyaganya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 204
- 100
Wadau kuna suala napenda niliweke kwenu mnisaidie mawazo.
Kume kua kuna ongezeko la Kampuni Nyingi Duniani Kama si Tanzania kujiita " Group" yani kwa Mfano : Bakhresa Group of Companies , Virgin Group , IPP na mengineyo ....
1. Swali langu ni kwamba, Je ufunguzi au kusajili Kampuni zenye kumaanisha Group of Companies ni Sasa na usajili wa Kampuni Wa Kawaida ?
2.Kama ndivyo nini hasa kitatofautisha jina la kawaida la Kampuni na hili Linalo kuwa na neno Group?
3.Kama Sivyo nini faida ya Kusajili Kampuni kwa Jina lisilo amabatana na neno Group au nini faida ya kusajili Kampuni kwa kiunganisho cha neno Group? ( napenda kujua Faida na Hasara)
4.Ni taratibu gani hutumika kusajili kampuni yenye Jina lenye mfanano huu ....e.g : Bakhresa Group of Companies au Virgin Group