Wahaya ni hatari, wachagga mtasubiri. Elimu elimu elimu

Status
Not open for further replies.

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Messages
2,274
Points
2,000

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2013
2,274 2,000
Ni vema ukatafuta mwanaume/mwanamke nshomile uzae watoto wenye akili. Nilshawahi kufika UHAYANI yani wale jamaa ukifika watakuuliza matokeo yako au ya wanao, tambwe zao ni elimu ya wanao au yako, kinyume na hapo hata kama una mipesa kiasi gani, Utaonekana mbumbumbu tu.

Hii ni list ya matokeo ya CSEE( Form 4) , kama unavyojionea
1. Shule ya kwanza ni KEMEBOS-KAGERA
2. Halmashauri bora sasa naona Bukoba wa 2 hlf kw mbali naon moshi
3.Top 10, kuna wahaya 4 kila group i.e wanaume na wanawake

Sasa wachagga msione tumekaa kimya mkaanzisha viuzi vya matokeo ya darasa la 7 sijui form 2 mkaona mnatuweza, sisi tunawachora tu
 

Attachments:

stella1975

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
521
Points
1,000

stella1975

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2018
521 1,000
mzee wa kismati,]Sasa hao wanaoimba Juu Ya Kilimanjaro mbona kwenye hiii orodha Hakuna Kilimanjaro? Miaka mingi na kila kundi Hakuna Kilimanjaro Lakini wameimbaaaaaaa sijui hao wametokea wapi, Halafu wachaga vichwani darasani hamna kitu kiukweli wachaga kwenye Elimu Ya ushindani darasani Hakuna chochote ila Sema tu ubora wa mazingira ya shule sawa Lakini habari ya kusema kuwa wachaga ni wakari darasani mnajidanganya Hakuna kitu mfano tu Mzuri angalieni hayo matokeo Hakuna cha Kilimanjaro wala moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Killboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Messages
255
Points
250

Killboy

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2019
255 250
u
Sasa hao wanaoimba Juu Ya Kilimanjaro mbona kwenye hiii orodha Hakuna Kilimanjaro? Miaka mingi na kila kundi Hakuna Kilimanjaro Lakini wameimbaaaaaaa sijui hao wametokea wapi, Halafu wachaga vichwani darasani hamna kitu kiukweli wachaga kwenye Elimu Ya ushindani darasani Hakuna chochote ila Sema tu ubora wa mazingira ya shule sawa Lakini habari ya kusema kuwa wachaga ni wakari darasani mnajidanganya Hakuna kitu mfano tu Mzuri angalieni hayo matokeo Hakuna cha Kilimanjaro wala moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona maua seminari au umefanya tu makusudi kwa kutoitaja
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,392,181
Members 528,565
Posts 34,100,876
Top