Wahaya mmeacha utaratibu wa kubeba binti kwa lazima"Okulehya" bado mnao?

Huu utaratibu hata kwetu kule Mara ulikuwepo. Ni utaratibu mzuri sana.

Kwa ujumla ni utamaduni wa sisi wa lake zone.

Haya mambo ya wazungu ndio yanatuharibia tamaduni zetu, leo binti anataka umpigie magoti upropose eti umuombe will you marry me? Tena kwa kingereza, usipofanya hivyo hakukubali, mambo ya kipumbavu kabisa.

Wazungu wameharibu kila kitu chetu ila kwao utamafuni wao uko vile vile, walikuja na mke mmoja, sasa wanasema hakuna haja ya mwanamke tena sasa ni mwanaume mwenzako ndio unatakiwa uoe, hovyo kabisa.
Kumbe.
 
Pia dizain nyingine huko Uhayani ni hii ya binti kung'ang'ania geto kwa mwanaume.
Mfano leo umemwita binti kaja kwako anaacha nguo moja.. Kesho ukamuhitaji tena anaacha nyingine.. Keshokutwa mtondogoo vivohivo mpaka inafika siku ya siku anakwambia siendi hom kwani tayari nguo za kutosha kubadilisha zipo huku na ndo ntolee tayari ushamuwowa haha



Cc Smart911
Hii ipo uhayani?? Waulize wa Dar ndo wakwambie vizuri kuhusu hii. Ha ha haaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utamaduni wa watu wa nchini Kyrgyzstan unaruhusu kijana wa kiume kumteka kwa nguvu binti yeyote anayetaka kufunga naye ndoa.

Huu utaratibu ulikuwepo hata kwa wahaya, ukimtaka binti akazingua, unamsubiria, alafu unamkwapua unamfungia kwako week mbili, anakubaliana na matokeo,
Sasa huko Kyrgyzstan yapo pia
Yaani endapo kijana wa kiume atampenda binti fulani basi anaweza kuwachukua rafiki zake ili wakamteke binti huyo na kutumia nguvu kumpeleka nyumbani kwa kijana kwa lengo la kufunga naye ndoa bila kujali kama binti atakubali ama la.

Huu ni utaratibu halali kabisa huko Kyrgyzstan!

Endapo Tanzania ikiweka utaratibu huu
Wewe utamteka nani?


View attachment 774014
Mbona usukumani huu utaratibu upo kwa jina la chagulaga!

kutoka: 22D Arnold st.
 
Back
Top Bottom