Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
Habari mpya hii,ila pia Mwl alitaka sana kujenga usawa
Half caste,you have touched a raw nerve,kweli kuna mlolongo wa matukio ambayo sisi wahaya yalitudhoofisha sana kielimu.Ngoja niongezee mi pweint:Baada ya uhuru tumeshuhudia mtaala wa elimu ukipandisha alama za ufaulu kuingia sekondari kwa wakazi wa mkoa wa Kagera kwa kile serikali ilichokiita eti ni sera ya kuleta usawa kielimu Tanzania nzima.Kwa mfano wakati huo mkazi wa Kagera alipaswa kuwa na alama za ufaulu 90,mkazi wa eneo jingine aliweza kuchaguliwa kujiunga na sekondari kwa alama 40.Hii ni kinyume cha haki za binadamu(right to education).Evidence zipo naomba ndugu zangu tupeleke kesi hii ICC ili tutendewe haki.
Kumbe ndo maana wataalamu wamepungua!!!!!, kweli Wahaya tungeachwa katika speed yetu ile ile, Tanzania ingekuwa kisima cha Maendeleo kwa nyanja zote.Baada ya uhuru tumeshuhudia mtaala wa elimu ukipandisha alama za ufaulu kuingia sekondari kwa wakazi wa mkoa wa Kagera kwa kile serikali ilichokiita eti ni sera ya kuleta usawa kielimu Tanzania nzima.Kwa mfano wakati huo mkazi wa Kagera alipaswa kuwa na alama za ufaulu 90,mkazi wa eneo jingine aliweza kuchaguliwa kujiunga na sekondari kwa alama 40.Hii ni kinyume cha haki za binadamu(right to education).Evidence zipo naomba ndugu zangu tupeleke kesi hii ICC ili tutendewe haki.
Naona uanze kuwatetea dada zako wanao dhalilishwa kule Temeke Sokota, Buguruni na Tandale (bwengas) halafu ndo ufunge safari ya ICC! Wahaya bana kwa kupenda sifa!, hapa anataka kuonyesha kuwa wao wana akili zaidi!!
Kumbe ndo maana wataalamu wamepungua!!!!!, kweli Wahaya tungeachwa katika speed yetu ile ile, Tanzania ingekuwa kisima cha Maendeleo kwa nyanja zote.
Nakubaliana na wewe mkuu!Wachaga they are smart,baada yakuona hakieleweki wakaamua kukusanya nguvu zaowenyewe wasomeshe watoto wao,wahaya tukabweteka.
Leo nendamachame,uru,marangu,kibosho narombo uone quality ya praimari na sekondari za vijiji na kata,you will be amazed.Matokeo yake sisi wahaya tunabwabwaja eti wachaga wamejaa treasury,TRA na kwingine,kaone CV zao ni high quality na wanastahili nafasi zao.wahaya amkeni tujenge uhayani.Majuzi tu sekondari ya Kadea kanyigo ilikuwa hoi,wana kanyigo waishio dar walipoamua kushikamana na kufufua look at the number of div1 walizopata vijana mwaka jana,very impressive!
Unajua nini mkuu, ndugu zetu hawa waliamua kubadilisha majina yao ya asili na kutumia majina ya kizungu ili waweze kuchaguliwa,
1.mfano JOHN NDIBALEMA,alipaswa kubadili jina na kujiitabulisha kama JOHN PROTASE,HAMIS KAGASHEKI,aliweza kutumia HAMIS MOHAMED.ili afiche ubini aweze kwenda secondary
2.Wengine waliweza kuhama Mkoa na kuingia Mikoa mingine ili waweze kuchaguliwa.
Mkuu wataalamu wengi wa Kihaya walimalizwa na Ukimwi.Kumbe ndo maana wataalamu wamepungua!!!!!, kweli Wahaya tungeachwa katika speed yetu ile ile, Tanzania ingekuwa kisima cha Maendeleo kwa nyanja zote.
Mkuu Bishanga kuhamishwa kwa Rugambwa hakuwezi kuwa sababu ya kulaumu utawala wa Nyerere. Hayo ni mambo ya Kanisa Katoliki. Rugambwa alipandishwa madaraka ikabidi ahamie ktk Jimbo Kuu ambalo lilikua ni Dsm. Kukwama kwa miradi aliyoanzisha akiwa Bkb aulizwe Askofu aliyechukua nafasi ya Rugambwa. Kuhusu Vyama vya Ushirika nakubaliana na wewe kwa asilimia mia!Half caste,you have touched a raw nerve,kweli kuna mlolongo wa matukio ambayo sisi wahaya yalitudhoofisha sana kielimu.Ngoja niongezee mi pweint:
1.Mhadhama Cardinal Rugambwa (RIP): Katik late 60's alihamishiwa Dares salaam katika mazingira ya utata.Through his immense influence ndo miradi mingi ya elimu Bukoba ilikuwa inatakata (kumbuka Rugambwa sec ilikuwa iendelezwe hadi university level),leo ndo tunahangaika na mradi wa tawi la SAUT pale Itahwa na Jokuco nshambya (almost 40 years later).Remember Ihungo shule ya kanisa ya miaka hiyo? Rutabo? Rubya?
2. Vyama vya ushirika: Unakumbuka BCU (for that matter na victoria federation ya mwanza na kncu ya moshi).BCU ilikuwa inasomesha watoto wa wakulima bure all over the world.Wahaya kibao degree zao (akiwemo mzee George Kahama) walizipata kwa sponsorship ya coop union.Kiko wapi baada ya vyama hivi kuvunjwa miaka ya sabini (tena kwa makusudi).
......nitaendelea,ngoja nile kwanza matoke (binamu ensholo) yanapoa....
Si kihivyo; kwani wahaya wote wameisha????, we sema tu tulikandamizwa na tunaendelea kukandamizwa bila kujitambua: just imagine; mtu anayemaliza kidato cha 4 Kagera mwenye Div.4 akija Dar akarudia paper anatisha si mchezo; wapo wengi wamehitu Engineering na Sheria na wanafanya vizuri ktk soko la ajira.Mkuu wataalamu wengi wa Kihaya walimalizwa na Ukimwi.
mwaka 1974 kwa nini Askofu Nkaranga ali resign voluntarily?Mkuu Bishanga kuhamishwa kwa Rugambwa hakuwezi kuwa sababu ya kulaumu utawala wa Nyerere. Hayo ni mambo ya Kanisa Katoliki. Rugambwa alipandishwa madaraka ikabidi ahamie ktk Jimbo Kuu ambalo lilikua ni Dsm. Kukwama kwa miradi aliyoanzisha akiwa Bkb aulizwe Askofu aliyechukua nafasi ya Rugambwa. Kuhusu Vyama vya Ushirika nakubaliana na wewe kwa asilimia mia!