johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,725
Fungua mfuniko wa choo sasa uone pabo lililodondoshwa.
Hahahahhaha pambo la dhahabu nini?Fungua mfuniko wa choo uone pambo lililododoshwa ndani!
Wasukuma yao ni vise verse ila wahaya zao ni extremely internationallyHahaha wasukuma naona wamepumzishwa
Wasukuma yao ni vise verse ila wahaya zao ni extremely internationally
Napenda CHOO kisafi kizuri kinachovutia kunukia na kilichorembwa kikarembeka
Ila usafi cyo wa hvo. Hujui kuwa chooni/ bafuni ukijaza unnecessary thng pia ni uchafu?Napenda CHOO kisafi kizuri kinachovutia kunukia na kilichorembwa kikarembeka
Mm ctaki kuitwa mchochezi maana unapoelekea utataja na kale kakijiji...Usiwasingizie watani zangu wahaya,hao wanajulikana kabisaaa ni wasukuma.
aahaha unafunua ila ukimaliza tu unarudishia kama ulivopakutaNikitaka kukata gogo?
Hahaha wenyewe wanakuambiaLile tetemeko na data za Dr.Mpango la mikoa maskini limewashusha hadhi kabisa.