Wahaya Bwana- Kagera Day Balaa Tupu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahaya Bwana- Kagera Day Balaa Tupu!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MzalendoHalisi, Dec 8, 2007.

 1. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kagera Day ni balaa

  Uchangiaji fedha katika siku ya Kagera day ni vituko tupu. Kiasi cha
  shilingi Bilioni 1.4 zilichangwa mbele ya Lowasa ikiwa nipamoja na zawadi.

  1. Prof. Rweikiza wa Marekani- Sh. milioni 50

  2. Prof.Rutashobya wa Chuo kikuu cha Havard-Milioni 40

  3. Prof. Rweyimamu wa Afrika Kusini hakuweza kuja leo lakini ametuma
  hundi ya USD 20000

  4. Prof Rwabuyongo wa Ufaransa ametoa Sh. millioni 20

  5. Prof. Rwebangira yeye amemtuma mkewe Kokushubira na yupo hapa na
  Cash. Milioni 15000 amechelewa ndege ifwakti akitokea kutoa matibabu
  Canada kwa mgonjwa anaye mhudumia huko.

  6. Prof. Kokubenza ambaye nimewasiliana naye kwa simu na amedai kuwa
  ameshikwa na mafua amesema hakuna tatizo tumtume mtu aende London
  akachuklue Milioni 45.

  7. Dk. Kagirwa huyu alikuwa Mzumbe miaka ya 90 lakini sasa yupo chuo
  Kikuu cha Oxford amesema atatoa milioni 30.

  8. Dk. Muganyizi ametoa milioni 20.

  9. Dk. Mchunguzi ambaye sasa anamalizia Reseach yake ili aupate
  Uprofesa amesema yeye na mkewe ambaye ametunukiwa PhD juzi hapo
  mlimani pamoja na mtoto wao Rwechungura atatoa milioni 20.

  10. Wengine wengi kama akina Katabazi, Kavodago, Kaceritale,
  Kazenitalema, Katalyeba na akina Kokushuma wao wametoa kiasi kidogo na
  wao wamekaa kule nyuma hata hatukuona haja ya kukupa mkono kwa kuwa
  wametoa cash milioni kati ya 5 na 9. Pia mheshimiwa hawa nikuwa wana
  Masters tu ndo hata tumeona elimu bado ndogo sio sawa na akina Rwegasira.
   
 2. AlMusoma

  AlMusoma Member

  #2
  Mar 18, 2009
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 32
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kwani kuna Wahaya wanaume?
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Du ila Wahaya bwana kwa kujisifia ..yaani Baabu Kubwa!
   
 4. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Andika "kwa kusifiwa":)
   
 5. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Kwa kujisifia na kupenda kusifiwa kwa sifa zao:)
   
 6. A

  Audax JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ebu tafuteni vitu vingine vya kusema,maana huu ni mchango amabao watu wameamua kuchanga kwa nia zao ili kuleta maendeleo,hapa kwenye mchango hamna kujidai wala nini,ebu tuwe wawazi juu ya hili.Na hii inaonyesha ni jinsi gani walivyona nia ya kuchangia kwa lengo la kuleta maendeleo,wanaelewa nini maana ya maendeleo na nafasi ya mtu binafsi katika kuisaidia jamii.
   
 7. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Audax,

  We vipi? hii ni thread ya udaku na utani!!

  Sasa nini hapo hakieleweki??
   
 8. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  hahahhah,that's hilarious!...si utani maombwenu kwa misifa ucpime!..hahah
  hiyo hitimisho ndo inaua,hahah!
   
 9. Castle

  Castle Member

  #9
  Mar 20, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 87
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  wamemsahau professor mukandala wa udsm.
   
 10. Shukuru

  Shukuru JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2009
  Joined: Sep 3, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmh.... jamani huu sasa ugomvi..
   
 11. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2009
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,556
  Likes Received: 1,322
  Trophy Points: 280
  Hivi nini kimefanika Tangu hela hizo zikusanywe mwaka mmoja na nusu uliopita?? Je ilikuwa sawa na fashion show ama?????

  WAZEE WA KUCHOMA NDIZI
   
 12. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #12
  Mar 21, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Hayo majina mwisho wa mawazo!
   
 13. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  kwikwikwi tehetehe kazi kwelikweli, masters ni ndogo? kweli wahaya wanajisifu
   
 14. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #14
  Mar 24, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kwani hujui? subiri ukutane nao wakati ukitoka kuiba NGOMBE ndio utawajua mpaka utamsimuRia mama Bhoke.

  Wengine mnavamia THREAD nakuchangia bila kuanglia iko kwenye forum gani, MODS mnakazi kubwa ya kutueleimisha hapa
   
 15. epigenetics

  epigenetics JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2009
  Joined: May 25, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Project tayari zipo kwenye pipeline mkuu.... Infwakt, unaweza angalia ukurasa wa tovuti ya mkoa hapo chini kupata data zaidi.

  TOVUTI YA MKOA WA KAGERA ...............


  Utani pembeni.
  Siku hiyo (Kagera Day 2007) rasilimali zenye thamani ya TShs. 1,500,000,000 (Bilioni moja na nusu) ziliahidiwa au/na kutolewa.
  Nguvu za wananchi ni njia njema kusaidia maendeleo. Tanzania tuhimize utamaduni wa responsible 'fund raising' katika masuala kama Elimu na Afya.
   
  Last edited: Mar 24, 2009
 16. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  epigenetics,

  Ahsante Mkuu!

  Ni tovuti nzuri..mie napenda sana BKB na Wilaya zote nimefika!

  Sasa ktk hii kutengeneza tovuti- what is the level of seriousness? Yaani Cut paste habari ya Mbeya?? Huyu mtu anayehusika na hii tovuti anawaangusha! Tafauteni mtu qualified and serious!

  Hii thread ipo ktk utani/udaku ila this cut and paste thing sii utani ni serious!

  See below habari za Bukoba Rural!

   
  Last edited: Mar 24, 2009
 17. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Kwa misifa ya hawa jamaa lugha ktk hii tovuti ilitakiwa iwe English au angalau Kihaya
   
 18. epigenetics

  epigenetics JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2009
  Joined: May 25, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  That is a serious blunder.........
   
 19. M

  Mugerezi JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2009
  Joined: Mar 28, 2007
  Messages: 454
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwanza ongereni wana Kagera kwakuwa na website. Nimejaribu kupitia hizi website za mikoa naona kama zinafanana. Its like anayezitengeneza ni mtu mmoja au hao wengine wote wamedesa kutoka kwa aliyetengeneza ya kwanza. Hivyo makosa yaliyo kwenye tovuti ya kagera yanaweza pia kuwa kwenye nyingine. Lakini ni kosa kubwa sana inaonyesha jamaa hayuko makini. Watu inabidi tubadilike inapokuja kazi lazima uifanye kazi kwa uwezo wako wote na kujiridhisha kuwa kila kitu kiko safi.
   
 20. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,922
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nilitaka nizimie mimi kumba hii thread iko kwenye jokes/utani! Khaa
   
Loading...