Wahasibu wenye uzoefu

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Messages
1,555
Points
2,000

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2014
1,555 2,000
1.Kwanza kabisa unatakiwa ku-create account kwenye website ya tra, account ikiwa successful created utapatiwa password na e-fin number ambazo ndo utatumia ku log in kwenye hiyo system.
2. Utapaswa kuweka taarifa zako zote za mapato na matumizi kama system itakavyokuelekeza. Hizi taarifa za matumizi utazipata kwenye risiti zako za manunuzi hivyo ni lazima utunze risiti kila unapofanya manunuzi.
3.Ushauri: Kama ndo mara yako ya kwanza nakushauri utafute mtu mwenye ufaham aweze kukuelekeza practically procedures zote za kusubmit hizo return. Hapa tutakuelekeza juu juu tu tofauti na ukielekezwa kivitendo.
 
wamanga

Senior Member
Joined
Feb 11, 2016
Messages
150
Points
250

wamanga

Senior Member
Joined Feb 11, 2016
150 250
1.Kwanza kabisa unatakiwa ku-create account kwenye website ya tra, account ikiwa successful created utapatiwa password na e-fin number ambazo ndo utatumia ku log in kwenye hiyo system.
2. Utapaswa kuweka taarifa zako zote za mapato na matumizi kama system itakavyokuelekeza. Hizi taarifa za matumizi utazipata kwenye risiti zako za manunuzi hivyo ni lazima utunze risiti kila unapofanya manunuzi.
3.Ushauri: Kama ndo mara yako ya kwanza nakushauri utafute mtu mwenye ufaham aweze kukuelekeza practically procedures zote za kusubmit hizo return. Hapa tutakuelekeza juu juu tu tofauti na ukielekezwa kivitendo.
Ahsante sana dear
 
Forum statistics

Threads 1,343,413
Members 515,033
Posts 32,783,895
Top