Wahariri wabaini makosa kurudiana na Paul Makonda, viongozi waomba Radhi

Majs

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
228
481
Habari waungwana,

Wiki iliyopita ilitawaliwa na mengi ikiwemo kupatana kwa Ruge na mkuu wa mkoa wa Dar kuanzia Tanga mpaka mkutano wa wanahabari walioufanya jijini huku wakionekana 'kutopangana' vizuri mbele ya camera.

Baada ya mkuu wa mkoa kugoma kuomba radhi tena kwa kutumia lugha ngumu, waandishi wanaonekana bado 'wamemkazia' pamoja na kutolewa kifungoni na TEF ukiacha wale ambao walisharudisha majeshi awali.

Leo TEF wametoa press release kuhusu mkutano wao wa dharura wa jana. Nimejaribu kusoma mpaka hitimisho lakini sijaona 'status' iliyopo kati yao na mkuu wa mkoa baada ya kugundua kwamba walifanya makosa. Je! Uhusiano 'wa kikazi' umerejea au kwa kuwa taratibu hazikufuatwa, wanabatilisha mapatano na kuanza mchakato upya?


TEF.jpg
 
Bora wangekaa kimya Tu kuliko kuendelea kujidhalilisha you have messed up and you have nothing to do.DAB kiboko kagoma kuomba radhi Na habar zake mtazirusha mtake au msitake coz mshaonekana wababaishaji!
 
Walishapewa bahasha za khaki hao

Hivi waliendaje pale live bila kujipanga sikuelewa walienda kufanya nn niliishia kuona aibu na kuacha kuharibu pesa za mwajiri wangu aana nilikuwa naangalia live you tube ikabidi nipotezee nikatumia mda huo kujifunza kutengeneza kachori na door mat @ least kachori zishaaza kuniingizia na door mat bado sijajua ndo nakomaa

Ni aibu sana kumuangalia huyu jamaa aliiwadhalilisha yaan inaelekea anapenda publicity inasikitisha sana tef walitukanika live ...........


My take wasimpe uzito wowote huyu mtu..........
 
HIVI WALIENDAJE PALE LIVE BILA KUJIPANGA SIKUELEWA WALIENDA KUFANYA NN NILIISHIA KUONA AIBU NA KUACHA KUHARIBU PESA ZA MWAJIRI WANGU AANA NILIKUWA NAANGALIA LIVE YOU TUBE IKABIDI NIPOTEZEE NIKATUMIA MDA HUO KUJIFUNZA KUTENGENEZA KACHORI NA DOOR MAT @ LEAST KACHORI ZISHAAZA KUNIINGIZIA NA DOOR MAT BADO SIJAJUA NDO NAKOMAA
NI AIBU SANA KUMUANGALIA HUYU JAMAA ALiiwadhalilisha yaan inaelekea anapenda publicity inasikitisha sana TEF walitukanika live ...........

my take wasimpe uzito wowote huyu mtu..........
Bashite mwenyewe alikuwa ana chelacheka so unprofessional niliyemuona anaongea ya maana ni Ruge tu
 
Walijidhalilisha sana mbele za watu siku ile.
Eti bashite alidai kuwa walimfuata wenyewe kumuomba radhi kwa makosa aliyowatendea.
 
Hawa watu hawaeleweki, Anaeongoza Mkutano Mkuu Maalum wa TEF ni nani? Barua imesainiwa na Mwenyekiti wa KAMATI MAALUM yaTEF anawezaje huyu kuwa msemaji wa TEF anayeweza kumwajibisha Mwenyekiti? KAMATI MAALUM kazi yake nini na inawajibika kwa nani?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom