Wahariri wabaini makosa kurudiana na Paul Makonda, viongozi waomba Radhi

Nasikia kuna MTU analiita jukwaa LA wadada wasaidizi kazi za nyumbani. Sasa nimeanza kumuelewa yule mtu. Kweli hili jukwaa halina tofauti na jukwaa la ma house girl.
 
Bashite mwenyewe alikuwa ana chelacheka so unprofessional niliyemuona anaongea ya maana ni Ruge tu
Sasa kwa Bashite unataka profession ya nini wakati qualification kwa mujibu wa katiba in kusoma na kuandika? Na wewe kumbe kanjanja tu.
 
sasa kama mkutano ule haukuwa halali, vip kuhusu maazimio ya mkutano yalikuwa halali?
 
Sasa hawa nao hawaeleweki, Je maamuzi ya Juzi ya Kikao kati ya TEF na Bashite ni halali au batili?, kama ni halali sasa Onyo la nini? Na kama ni batili kwa nini Jukwaa lisiseme kuwa halitambui maamuzi ya mkutano wa Juzi?.
Inawezekana vipi uamuzi uliochukuliwa na Mkutano mkuu ukabadirishwa na maamuzi ya viongozi wawili watatu?
 
TEF hawana tofauti na chadema kwa matamko koko.
Huyo Mauggo ndio ameongea nini sasa
 
Wametuweka njia panda tu... Wangesema wanaendelea kuripoti habari za Bashite au la. Simple...
 
Kikao cha harusi; Main objective ya kikao iko wazi lakini conclusion inafanywa kwa kuikwepa main objective badala yake zinatumika general objectives.
 
Hawa jamaa hawajielewi maana hoja zao hazina mantiki,haiwezekani MTU ambaye si kkiongozi wa taasisi husika awapatanishe watu,halafu ndipo viongozi na wao eti wanamfungulia jamaa.Hiyo ni aibu acheni akili za kushikiliwa na upumbavu.
 
Back
Top Bottom