Majs
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 229
- 485
Habari waungwana,
Wiki iliyopita ilitawaliwa na mengi ikiwemo kupatana kwa Ruge na mkuu wa mkoa wa Dar kuanzia Tanga mpaka mkutano wa wanahabari walioufanya jijini huku wakionekana 'kutopangana' vizuri mbele ya camera.
Baada ya mkuu wa mkoa kugoma kuomba radhi tena kwa kutumia lugha ngumu, waandishi wanaonekana bado 'wamemkazia' pamoja na kutolewa kifungoni na TEF ukiacha wale ambao walisharudisha majeshi awali.
Leo TEF wametoa press release kuhusu mkutano wao wa dharura wa jana. Nimejaribu kusoma mpaka hitimisho lakini sijaona 'status' iliyopo kati yao na mkuu wa mkoa baada ya kugundua kwamba walifanya makosa. Je! Uhusiano 'wa kikazi' umerejea au kwa kuwa taratibu hazikufuatwa, wanabatilisha mapatano na kuanza mchakato upya?