Wahariri wa TBC na Channel ten siasa bila mizania inawaharibia sifa

Channel Ten ni mali ya CCM,mwendazake aliliweka wazi japo ilikuwa ni ushamba kwa kuwa iliwaharibia upande wa viewers, TISS wengi kwa sasa ndio hupelekwa pale kama CEO-watendaji wakuu, wana-shuttle serikalini na channel ten
 
Waliopo Burundi watuambie vipi Tibisii inaonekana huko!! Na kama inaonekana kwa nini imewafuata na wakati wao ni warundi?
 
Back
Top Bottom