Wahariri wa magazeti wameanza kuelewa somo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahariri wa magazeti wameanza kuelewa somo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salary Slip, Sep 10, 2017.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,466
  Likes Received: 36,047
  Trophy Points: 280
  Ni baada ya magazeti karibu yote kuipa uzito mkubwa habari ya Lissu huku mengine yakija na maswali tata kuhusiana na tukio hilo na kuipa uzito mdogo sana habari ya Almasi kutaifishwa.

  Ukiacha magazeti ya Mzalendo, Sunday News, Habari Leo na The Guardian, magazeti mengine yote habari ya kutaifishwa Almasi ama hawajaiandika kabisa au wameiandika kwa uzito mdogo sana na picha za hiyo Alamasi na waziri ndio kabisa wameipotezea.

  Kweli tukio hili limegusa wengi..
   
 2. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #2
  Sep 10, 2017
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 7,615
  Likes Received: 5,948
  Trophy Points: 280
  Pongezi wahariri wa magazeti kwa kutotaka tena kutumika katika hizo kiki za "kipuuzi" za hao watawala wetu!
   
 3. R

  Rivamba J JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2017
  Joined: Aug 19, 2013
  Messages: 384
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  nao ni binadamu na wana mapenzi mema na inchi hii hivyo huchukizwa na vitendo vinavyoendelea.
   
 4. Majighu2015

  Majighu2015 JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2017
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 2,595
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Hongereni sana waandishi wa habari mnaojielewa
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2017
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,119
  Likes Received: 1,367
  Trophy Points: 280
  Magazeti ni biashara, mchapishaji huangalia mauzo kwanza .Huenda hicho unachofikiri wewe siyo kipaumbele chao
   
 6. G

  GENTAMYCINE JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2017
  Joined: Jul 13, 2013
  Messages: 22,604
  Likes Received: 21,721
  Trophy Points: 280
  Wahariri wameutendea haki sana huu msemo wa ' Kihenga ' usemao " Mjinga wakati wa kwenda wakati wa kurudi ni Mwerevu ".
   
 7. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,466
  Likes Received: 36,047
  Trophy Points: 280
  Kwakweli inabidi watu wabadilike nchi hii na tushikamane vinginevyo itakula kwetu.
   
 8. magige Dm

  magige Dm JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2017
  Joined: Jul 17, 2017
  Messages: 237
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 80
 9. WASHE

  WASHE JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2017
  Joined: Jan 9, 2017
  Messages: 554
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  Wewe ndiyo mpuuzi
   
 10. Kibo255

  Kibo255 JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2017
  Joined: Aug 11, 2013
  Messages: 4,398
  Likes Received: 3,175
  Trophy Points: 280
  Sio wahariri tu ata watanzania sasa wanauelewa mkubwa sana acha waendelee kujiongopea pole alizopewa Lisu na taifa kuungana kumuombea imewapa fundisho wanaotumiwa na shetani watanzania tumemwaibisha shetani
   
 11. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #11
  Sep 10, 2017
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 7,615
  Likes Received: 5,948
  Trophy Points: 280
  Hebu tujiulize hayo magazeti ya Daily News, Uhuru na Habari Leo yana wasomaji wangapi?

  Ukipata jibu hapo ndiyo utajua nini maana ya Uhuru wa habari na siyo Uhuru wa habari wa kuelekezwa na watawala nini cha kuandika!
   
 12. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #12
  Sep 10, 2017
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 7,615
  Likes Received: 5,948
  Trophy Points: 280
  That's very true.

  Huu ndiyo muda muafaka wa magazeti kuangalia habari gani zina maslahi mapana kwa Taifa na siyo habari "tunazopandukiziwa" na watawala wetu!
   
 13. josam

  josam JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2017
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Well-done to media houses
   
 14. fute alexander

  fute alexander JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2017
  Joined: Jun 14, 2017
  Messages: 276
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Katika kitabu cha " The river between " the two ridges became antagonistic, naona nchi nimefika hapo. Big up wahariri, mtuunganishe tulishakuwa antagonistic siku nyingi

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 15. IROKOS

  IROKOS JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2017
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 4,949
  Likes Received: 2,446
  Trophy Points: 280
  ....Maneno miiingiii, but the truth is the truth.

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 16. S

  Sexless JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2017
  Joined: Mar 11, 2017
  Messages: 2,574
  Likes Received: 3,681
  Trophy Points: 280
  Hii kitu tusiposhikamana itakula kwetu. Pasiwepo mtu akafikiri kwamba haimhusu. Leo kwa Tundu Lieu kesho kwa mwingine. Kwani imeanzia kwa Tundu Lisu? Hapana.

  Imeanzia kwa Ben Saa8, ikaenda Clouds Media, ikaenda kwa Nape, ikaenda kwa Kighoma Malima, ikaenda kwa Roma, na sasa kwa Tundu Lisu.

  Hata kama huwezi kusema basi nuna tu kama hawa wahariri.
   
 17. izzo

  izzo JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2017
  Joined: May 31, 2015
  Messages: 2,822
  Likes Received: 5,490
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kusifu wahariri wa magazeti moja ya jambo la kiweredi katika vyombo vya habari ni kubalance story je wameangalia pande zote za story au wameweka mawazo yao tu?
   
 18. F9T

  F9T JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2017
  Joined: Dec 26, 2015
  Messages: 1,143
  Likes Received: 1,147
  Trophy Points: 280
  habar ya mjini ni tundu lisu, maigizo peleka ikulu.
   
 19. M

  MENGELENI KWETU JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2017
  Joined: Oct 23, 2013
  Messages: 5,881
  Likes Received: 11,608
  Trophy Points: 280
  Hongera nyingi sana kwa Wahariri wa Habari..
  Nipo na gazeti la Mtanzania, hiyo habari ya Almasi ipo page za katikati huko..
  Wanajaribu kuanzisha matukio ili kuizima habari ya Lissu..
  Lakini aaah wapi..
  Wauwaji.
   
 20. Countrywide

  Countrywide JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2017
  Joined: Mar 2, 2015
  Messages: 2,381
  Likes Received: 1,661
  Trophy Points: 280
  Leo hii ni post yako ya pili, speed imepungua! pesa zimeelekezwa kwenye matibabu?

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
Loading...