Wahariri wa magazeti waingia kwenye pay roll ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahariri wa magazeti waingia kwenye pay roll ya CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kajanks, Apr 20, 2011.

 1. k

  kajanks Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika hali ya kushangaza na kushtua habari za ndani kutoka ndani ya chama hicho zinasema kuwa kuna baadhi ya wahariri wa magazeti wameingia katika mfumo wa kulipwa mishahara wa chama hicho kutokana na kazi nzuri wanayoifanyia chama hicho machachari kilichojipatia umaarufu mkubwa hiv karibuni...habari zaid zinadai kuwa kuongezeka kwa wimbi kubwa la wahariri wanaohariri na kuandika makala kali zinazokichafua chama cha mapinduzi na serikali ya rais Kikwete kunatokana hasa na pesa ndefu inayotolewa na CHADEMA kwa kazi hiyo...sasa tunaamini wazi kwa style hii chama cha mapinduzi tutakikomesha na nawashauri kwa kuwa ndio kazi yao ukasuku na ubazazi wasiache kuchukua hizo pesa ili uchumi wa nchi ukue kutokana na kulipa kodi ya ongezeko la thamani kupitia pombe wanazo ishia kunywa kutokana na hela hzo..
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  umeingia juzi tu umeanza na pumba,..karibu nape nnauye
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Habari hizo umezipata wapi ndugu yetu? Naona ndio mchango wako wa kwanza hapa JF. Kwanza karibu sana na mods watakutumia kanuni za kujiunga na JF ili uwezi kuchangia kwa umakini zaidi.
   
 4. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Mtalia sana mwaka huu nyie Chama Cha Magamba!
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Na wasomaji wa makala hizo nao wameingizwa kwenye payroll ya CHADEMA? maana hawana (wasomaji) utashi kabisa wa kuelewa mambo! 1947.
   
 6. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mwenzio kwenye ofisi yako kwenye jamvi hili alijitapa kuhu vyombo vikubwa vya habari kukamatwa na CCM wewe unazungumzia wanalipwa na CDM. Vipi nyie ebu jipangeni upya. Kwa faida yako tu Viambie vyombo vyote vya habari visiandike habari za CDM kama watauza kitu.

  Lakini siajabu kwako kuingia kwa hoja ya kipuuzi

  Join Date : 18th April 2011
  Posts : 1
  Thanks 0Thanked 0 Times in 0 Posts

  Rep Power : 0
   
 7. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  ID nyngne m2 yuleyule. Inawezekana maji mshindo umeenda kuvua gamba halafu umerud tena lakini bado una magamba meng.. Karibu tena.
   
 8. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #8
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,219
  Likes Received: 3,779
  Trophy Points: 280
  Acha uongo hata roho yako inakusuta! Cdm hainapesa kuliko ccm iliyoteka vyombo vyote vya habari mpaka tbc sasa inatangaza hata kikwete akipiga mswaki inaonyesha! Ulivyo muongo hujataja ni vyombo gani vya habari! Sisi tulio mtaani tunaona magazeti na tv zinavyo shadadia upumbavu na wizi wa ccm! Sasa hao wahariri wanalipwa na cdm kuipendelea ccm? Hivi inaingia akilini? Chunga mwili na akili yako visitumike kuliangamiza taifa hili!
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ..............Una matatizo mengi mkuu,pole kwa shida zako...wai mapema mirembe kutibu matatizo yafuatayo

  1. Ufinyu wa kimawazo..
  2. Mzaha mzaha usio na maana...
  3. Huna cha kufanya unakuja kumpumzika hapa JF...
  4. Una asilimia kubwa za ukichaa,wai mapema mirembe..
   
 10. mseseve

  mseseve JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 518
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Tatizo lao ccm walijua walijua wakijivua gamba watabadilika na kuwa ng'ombe wapendwe na kukamuliwa maziwa kumbe hawakujua kuwa nyoka akijivua gamba anabaki kuwa nyoka yule yule tena aliyeongezeka sumu na bado watu wakamwogopa na kumpiga vita
   
 11. M

  Maimai Senior Member

  #11
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  .......... Du kaka kweli! Umejuaje kwamba ndo wale chama cha magamba. Kwani kuna ubaya gani kuwa na mishahara miwili ndo survival kaka. Pakigoma pamoja pengine panalipa. Makampuni yenyewe ya magazeti ya kibongo ya kinyonyaji tu. Acha wale kwenye urefu wa kamba zao. Aluta contunua!!!!!
   
 12. Kwaroz

  Kwaroz Member

  #12
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kijana naona kapotoka na hana habari kwa hicho anachokiamini. kwanini asiamini kwamba wanamagamba ambao wamemwagiwa ugali na wao wameamua kumwaga mboga? na wanamagamba wanautaalam wa kutisha na kuwanunua wahariri wa magazeti na cha pili manzisha mada hajasema ni magazeti gani hayo nadhani arudi akajipange upya!
   
 13. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwingine kakosea njia huyu, UTAWAJUA TU HOJA ZAO NYEPESI KAMA TISHETI NA KANGA ZAO!
   
 14. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tnajua unapokula ila umekuja kunya huku, lol! Hii yote ni kwa sababu you don't shit where you eat, and you don't eat where you shit. Nyambafu...
   
 15. h

  hoyce JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwa taarifa yako wengi wanalipwa na CCM ila ninyi kina Nape hamjui nani anawalipa. Ni RA na EL. Msome Kibanda, Balile, etc. Na kwa kutokujua hayo kweli wewe ni ka-junks
   
 16. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,978
  Likes Received: 20,356
  Trophy Points: 280
  Yaani kukaribishwa tu imekuwa nongwa, unabadika picha yako sebuleni, kaa vizuri basi ndo ujue uweke wapi na nai aitazame vinginevyo, ficha upuuzi wako
   
 17. F

  Fenento JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  • Kajanks inaonesha jinsi gani usivyokuwa mzalendo. Umelipwa ngapi Mkuu?
   
 18. M

  Maimai Senior Member

  #18
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kibanda na lowasa:.....balile na rostam.....mapinduzi na malechela......msaki na slaa.....wa uhuru na magamba.....kwayu na mbowe....naniii na naniiii....mbuguni na mbuguni...
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kajanks, hebu turushie paylist moja inayomjumuisha Saed Kubenea, kama huwezi ku-scan, piga picha kwa kiserula chako utuletee hapa janvini kisha ndo gumzo liendelee.
   
 20. Nditu

  Nditu Member

  #20
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uongo na ulaghai wa namna hii una characteristics za CCM na makada wao TISS waliojichomeka humu na ambao wamesahau kabisa kushughulikia usalama wa taifa na kubaki wakijikomba kwa kina Makamba, Kikwete, na mafisadi wengine. Ole wenusiku zenu zinahesabika kwani nguvu ya umma kaikingwi kwa kifua.
  Kwa taarifa yako kamwe hatudanganyiki na ufisadi wa kijinga namna hiyo. Mmefisadi kodi zetu katika EPA, Madini yetu katika Meremeta, Buzwagi, Geita na kwingineko, Ardhi yetu, na sasa mnataka kufanya hivyo kwa akili zetu. Tunasema tena hatudanganyiki. Kashindwa Makamba sembuse wewe Nape - dogo ambaye maziwa hayajakauka mdomoni?
   
Loading...