mtoto mdogo sana
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 460
- 1,337
- Thread starter
- #81
Wazo zuriKajifunze kukata kuni mkuu hutanilaumu
Wazo zuriKajifunze kukata kuni mkuu hutanilaumu
Unga telaSijasoma uzi ila na mimi nimekuja kuilaumu serikali
Sijawah kujivunia elimu niliyonayo. Kuna watu huwa wanasema nijivunie kusoma chuo kikubwa, elimu hii.Elimu ambayo haiwezi kukukwamua kwenye lindi la umaskini basi ni sawa na bure. Msukuma kaelimika zaidi na PhD yake ya mchongo
Elimu kama haijakukomboa huna la kujivunia maana ukikutana mtu kama msukuma au diamond atakuajiri na awe anakutuma tuma unamnyenyekea tu kama babalevoSijawah kujivunia elimu niliyonayo. Kuna watu huwa wanasema nijivunie kusoma chuo kikubwa, elimu hii.
Sasa mm nashangaa, nijivunie kwa lipi wakati jua kali mifukoni
Tatizo ni kwamba hawakutuambia lolote wakati tunasoma.Kinachouma zaidi ni zile siku ambazo hatukulala usiku ili tukeshe tukipiga msuli,miaka kibao yani.
Wengine wazazi hawakuwa na kitu,walivyofanya mpaka tukapata hiyo elimu ni Mungu pekee ndo anayejua.halafu umemaliza kusoma anategemea sasa mwanangu ananikomboa unakuta kazi huna unahangaika na machungwa jioni una buku mbili tu ambayo haikutoshi hata kula mwenyewe unamsaidiaje huyo mzazi.Elimu ya bongo ni u.... Tu
Kusoma na kuandika ni stadi inayofundishwa mashuleni kwa miaka miwili ya mwanzo wa masomo.Lengo moja wapo la elimu ni kujua kosoma na kuandika.
Mnao ilaumi serikali mtakuwa mlidili na lengo hilo moja tu Hapo juu saivi mnajua kusoma na kuandika tu, ila hamna hela au akili, au vyote kwa pamoja.
Hiyo miaka 16 baada ya kujua kusoma na kuandika ndo inadili na malengo mengine ya elimu ambayo sijayataja.Kusoma na kuandika ni stadi inayofundishwa mashuleni kwa miaka miwili ya mwanzo wa masomo.
Imagine sisi mpaka kumaliza degree ya kwanza tumepigika miaka 18.
Ukiondoa hiyo 2 ya kujifunza kusoma na kuandika. Miaka 16 tulikuwa tukijifunza nini?
Hii picha inaweza kutumika kama chanzo cha mapato kwa wazazi miaka 10 au 15 baadae.