wahanga wa mafuriko bado wanaishi kwa tabu kambini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wahanga wa mafuriko bado wanaishi kwa tabu kambini

Discussion in 'Jamii Photos' started by figganigga, Dec 29, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Makamu wa Rais Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wananchi waliohifadhiwa katika Klabu ya timu ya Yanga ya Jijini Dar es Salaa.
  [​IMG]
  Baadhi ya wananchi walio katika Kambi hiyo, wakifua nguo zao kambini hapo.
  [​IMG]
  moja kati ya watoto waishio katika Kambi hiyo ya Klabu ya Yanga, akiwa ameuchapa usingizi.mia
   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,471
  Likes Received: 4,747
  Trophy Points: 280
  poleni
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,135
  Likes Received: 3,327
  Trophy Points: 280
  Ndio watatia adabu kuichagua Magamba.
   
 4. Emilia

  Emilia JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani haka katoto.... Speechless...sijui hata kama kuna wa kumtazama.....ee Mungu!!!
   
 5. banizle

  banizle JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2008
  Messages: 218
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Huyu mtoto jamani amelala kwenye sakafu, aisee hii hajakaa vizuri
   
 6. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,798
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  mkuu siasa kila mahali!
   
 7. chubulunge

  chubulunge Senior Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  da hii hatari
   
Loading...