Wahanga wa ajira mmeutumia muda wenu kwa kuweka vipost vyenu kwenye mitandao ya kijamii.

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
495
Kwa kuwa mmeona hiyo ni njia sahihi mtakiona cha moto.
Wengine wanaingilia uhuru wangu eti nifanye hili au nifanye lile! "Ukiniingilia kufanya jambo ndo unaharibu kabisa"
 
Anaesema haingiliwi ni mungu mtoa roho au? Kama ni binadamu anapita tu na Tz itabakia na watu wataishi, leo mwaka mzma hajatoa ajira watu wangapi wamekufa?

Unapoongea kitu tafakar kuwa we sio mgawa lizik kumamae! Mungu pekee ndo anaejua maisha ya badae! Nyumbu wengne fungeni makopo yenu,
 
Back
Top Bottom