chivala
JF-Expert Member
- Apr 13, 2021
- 772
- 2,333
Tofali zenye uwazi faida yake ni kubana matumizi ya cementi na mchanga pia mfano pale unapotoa matofali ya kawaida 35 kwa mfuko moja, kwa tofali zenye uwazi unaweza ukatoa tofali 70 tena kwa ubora uleule wa tofali ya kawaida.Kwa uzoefu wangu mdogo, tofali zenye uwazi katikati (Hollow Cement Block) zinatumika kwa uchache sana. Pamoja na faida zake nyingi, najiuliza ni kwa nini?
Ila tofali zenye uwazi ni rahisi wezi kuzibomoa na hazistahamili uzito mkubwa, ujengeaji wake unahitaji foundation imara na kufuatiliwa na nguzo imara pembezoni na linta imara