Wahandisi wa Tanzania baada ya miaka 50 ya uhuru

Kwa hiyo, kama kweli hawa ni watu wa kweli, wanafanya kazi alongside Wachina, siyo? Na specifically kazi yao ni nini hasa?

Project kuanza inaanzia mbali NN wachina wako kwenye stage ya mwisho!

Hapo mmoja alikua planning stage na mwingine design stage! swali lingine
 
Hiyo ndio ajui kati ya Engineers and Contractors!

Engineering companies za Watz maengineers!

Interconsult,
Tanconsult
Electrical plans,
Crowntech
Undi

Sijui uyu msukuma anataka wawe macontractors ndio atona wanafanya kazi

Mami Sikonge si keshasema ma engineer wa kibongo ndo wamejazana kwenye mabenki huko....sasa ona jinsi huduma za hayo mabenk zilivyo hovyo
 
Mami Sikonge si keshasema ma engineer wa kibongo ndo wamejazana kwenye mabenki huko....sasa ona jinsi huduma za hayo mabenk zilivyo hovyo

Umeelewa sasa? ngoja sasa nikawainspect hao wachina unaowaamini kwenye engineering!
 
An engineer is a proffessional practitioner of engineering concerned with applying scientific knowledge,mathematics and ingenuity to develop solutions for technical problems,
 
Engineering is the discipline,art,skill and profession of acquiring and applying scientific,mathematical,economic,social and practical knowledge in order to design and build structures,machines,devicer,systems materials and processes
 
An engineer is a proffessional practitioner of engineering concerned with applying scientific knowledge,mathematics and ingenuity to develop solutions for technical problems,

Hapo hapo kwenye ingenuity hapo ndo penyewe.
 
Sijasema nawaamini Wachina katika engineering lakini ni wazi wanatuzidi sisi kwa mbali saaaaaaaaaaaaaaaaana

Wanatushinda kwenye engineering developments ambapo kwao engineers akifanya reserch, kudesign serikari inasupport na wanafanyia kazi,
tofauti na kwetu andika ,design peleka ifanyiwe kazi duu!!
 
Wanatushinda kwenye engineering developments ambapo kwao engineers akifanya reserch, kudesign serikari inasupport na wanafanyia kazi,
tofauti na kwetu andika ,design peleka ifanyiwe kazi duu!!

Wanatushinda kwenye kila kitu
 
Nimefuatilia hii thread muda mrefu na nilitaka nione michango ya wenzangu kabla sijachangia. Nadhani sasa ni wakati muafaka.

To declare interest, Mimi ni Structural (civil) Eng. Na nimepratice for 7yrs. Nimefanya structural design ya majengo mengi sana hapa Arusha na hakuna hata moja lenye tatizo na yanatumika. Ni magorofa ya floor 1 hadi 10. Ningeweza kutaja lakini nadhani itaniletea shida kwenye ID yangu ya jf.

Ndugu yangu NN, tatizo la Engrs wa Tz ni kutambuliwa, kudhaminiwa, na kupewa nafasi.

KUTAMBULIWA.
Leo unazungumzia mitaro mibovu, barabara vumbi miundnmbinu mibovu ya maji, umeme, nk. This has got nothing to Engrs! Kuna town planners na ndio hasa wanahusika. Hii sio kazi ya Engr ingawa Engrs can do! Majengo yamejengwa hovyo na ni chini ya kiwango. Embu uliza ni watz wangapi waliotumia Engrs kwenye ujenzi wa nyumba zao. Ni wangapi wanafahamu nafasi ya Engr anapotaka kujenga nyumba. Hata anapobanwa na sheria, anamlipa na kumtumia acordingly? Au anataka mihuri yake tu alafu waachane?

KUTHAMINIWA NA KUPEWA NAFASI
Nenda leo kwenye hayo makampuni ya kijapani, china, america na kwingineko yanayofanya kazi hapa nchini. Angalia technical dept uone walivyojaa Engrs wakitz! Akisema yeye ndiye aliyefanya technical part ya kazi iliyofanyika hakuna anayekubali. Leo kampuni za kitz zikiomba kazi zinakosa kwasababu tu watoaji wa kazi wanaona akihongwa na tz atauza na itamletea shida. Ndio maana wanaprefer wageni. Watz hawathaminiwi kabisa kwasababu za kijinga kabisa! Hawapewi nafasi ya kusimama peke yao wala kuwezeshwa ndio maana wanaishia kwenye makampuni ya wageni na hata kazi wanazofanya, sifa wanapata wageni.

Mfumo na uendeshaji wa nchi yetu umesababisha weledi kumezwa na rushwa, selfish, majungu na siasa. Ndio maana kazi za Engrs walizofanya hazionekani direct but indirect! I'm very sorry but that is the reality.

Naomba niishie hapa kwa sasa. Baadae nitarudi

. . .
 
Wanatushinda kwenye kila kitu

hivi unaweza kutamka hili mi wazazi wangu wamenilea kuwa mimi ni mshindi katika kila kitu its just the matter of opportunity and being ready to do it, get this damn statement off your body buddy, wao wana nini ambacho sisi hatuna akili tunazo wanachofanya hao wazungu ni kuleta kila kitu ili tusiwe na muda wa kuwaza kwa sababu wanajua tukitulia tu kufikiri wameisha, na kwa ukombozi wa hii nchi ni lazima watu wafundishwe kufikiri
 
Nimefuatilia hii thread muda mrefu na nilitaka nione michango ya wenzangu kabla sijachangia. Nadhani sasa ni wakati muafaka.

To declare interest, Mimi ni Structural (civil) Eng. Na nimepratice for 7yrs. Nimefanya structural design ya majengo mengi sana hapa Arusha na hakuna hata moja lenye tatizo na yanatumika. Ni magorofa ya floor 1 hadi 10. Ningeweza kutaja lakini nadhani itaniletea shida kwenye ID yangu ya jf.

Ndugu yangu NN, tatizo la Engrs wa Tz ni kutambuliwa, kudhaminiwa, na kupewa nafasi.

KUTAMBULIWA.
Leo unazungumzia mitaro mibovu, barabara vumbi miundnmbinu mibovu ya maji, umeme, nk. This has got nothing to Engrs! Kuna town planners na ndio hasa wanahusika. Hii sio kazi ya Engr ingawa Engrs can do! Majengo yamejengwa hovyo na ni chini ya kiwango. Embu uliza ni watz wangapi waliotumia Engrs kwenye ujenzi wa nyumba zao. Ni wangapi wanafahamu nafasi ya Engr anapotaka kujenga nyumba. Hata anapobanwa na sheria, anamlipa na kumtumia acordingly? Au anataka mihuri yake tu alafu waachane?

KUTHAMINIWA NA KUPEWA NAFASI
Nenda leo kwenye hayo makampuni ya kijapani, china, america na kwingineko yanayofanya kazi hapa nchini. Angalia technical dept uone walivyojaa Engrs wakitz! Akisema yeye ndiye aliyefanya technical part ya kazi iliyofanyika hakuna anayekubali. Leo kampuni za kitz zikiomba kazi zinakosa kwasababu tu watoaji wa kazi wanaona akihongwa na tz atauza na itamletea shida. Ndio maana wanaprefer wageni. Watz hawathaminiwi kabisa kwasababu za kijinga kabisa! Hawapewi nafasi ya kusimama peke yao wala kuwezeshwa ndio maana wanaishia kwenye makampuni ya wageni na hata kazi wanazofanya, sifa wanapata wageni.

Mfumo na uendeshaji wa nchi yetu umesababisha weledi kumezwa na rushwa, selfish, majungu na siasa. Ndio maana kazi za Engrs walizofanya hazionekani direct but indirect! I'm very sorry but that is the reality.

Naomba niishie hapa kwa sasa. Baadae nitarudi

. . .

yaani nashukuru sana kwa ufafanuzi huu mzuri,
 
  1. WHAT IS ENGINEERING?
    • The art and science concerned with the practical application of scientific knowledge, as in the design, construction, and operation of roads, bridges, buildings, machines etc.
    • The combination of art and science by which the materials and power of nature are made useful to mankind.
    • Application and advancement of skills based on mathematics, science and technology, integrated with business and management.
  2. WHO IS AN ENGINEER?
    • An engineer is one who effectively adapts the findings of science to the use of man
    • A person specifically trained and experienced in planning and developing the structures and devices, and in supervising the processes for the benefit of mankind
    • Engineers are involved in the implementation, application, design, development and management of projects and processes
  3. DEFINITION OF AN ENGINEER
    • AN ENGINEER EFFECTIVELY ADAPTS FINDINGS OF SCIENCE TO THE USE OF MAN
    • HE IS THE VITAL LINK BETWEEN SCIENCE AND SOCIETY
      1. ENGINEERING BRANCHES
        • Civil, Mechanical & Electrical
        • Sectoral
        • Electronics
        • Chemical
        • Materials
        • Computer
        • Mining
        • Modern
        • Marine/Naval
        • Bio-Chemical
        • Bio-Medical
        • Information Technology
        • Bio Tech
        • Medical / Pharmaceutical
        • and so many other
 
Msiwe wajinga, mainjinia wapo, tena wana uwezo mzuri tu, lakini kwa sera za kipumbavu za nchi yetu mara nyingi wamejikuta wapo katika mazingira magumu kiutendaji.
 
  1. QUALITIES OF ENGINEERS
    • Courage and integrity
    • Thirst for knowledge
    • Imagination
    • Capacity for sound judgment
    • Accuracy of thought and action
    • Instinct for economy
    • Aptitude for leadership
    • Ingeniousness
    • Capacity for hard work
    • Ability to think and speak lucidly
    • An ability to apply knowledge of mathematics, science, and engineering.
    • An ability to design and conduct experiments as well as to analyze and interpret data.
    • An ability to design a system, component, or process to meet desired needs.
    • An ability to function on multidisciplinary teams.
    • An ability to identify, formulate, and solve engineering problems.
    • An understanding of professional and ethical responsibility.
    • An ability to communicate effectively.
    • The broad education necessary to understand the impact of engineering solutions in a global/societal context.
 
  1. ESSENTIAL SKILLS OF AN ENGINEER
    • Technical knowledge and skills
    • Intellectual skills
    • Attitudes
    • Standards of Engineering practice
    • Business practices
    • International & national history & culture
    • Proficiency in languages
  2. TECHNICAL KNOWLEDGE & SKILLS
    • Science fundamentals
    • Engineering fundamentals & application
    • Probability & Statistics
    • Computer science & technology
    • Engineering practice
  3. INTELLECTUAL SKILLS
    • Logical thinking
    • Problem-solving skills
    • Communication skills
    • Design skills
    • Organizational, management and administrative skills
  4. ATTITUDES
    • Competence
    • Integrity
    • Commitment
    • Tolerance
    • Flexibility
    • Life-long learning
    • Reliability
    • Conscientiousness
    • Punctuality
    • Approachability
 
Nyani Ngabu be free to highlight all the things that tz engineers miss and please give one realistic example, hizo zilikuwa some of the little things i presented to a certain orphanage walioalika professionals kuongea na watoto wao juu ya kazi zao, hivi wazazi wangapi wana muda wakutafiti vipaji vya watoto wao na kuwaelezea kazi mbalimbali na kuwasupport, take time with kids and young people, mtu anatakiwa afanye kitu roho inapenda ndio tutaona mafanikio sio mtu anaenda telecommmunication eng simply cause ana div one point 3 or 4 mtu aende kwa sababu anapenda na anataka kujua kitu fulani kwa ajili ya jamii yake.
 
Back
Top Bottom