Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,215
- 113,528
ok unataka kazi za aina gani ya engineering?
Nataka kujua matokeo ya kazi za ma engineer wa kibongo.
ok unataka kazi za aina gani ya engineering?
Mi nitakuonyesha kazi za wansiasa ndio nyingi zaukwamishaji!!
Nataka kujua matokeo ya kazi za ma engineer wa kibongo.
nimeamini hujui chochote kuhusu fani ya uhandisi,so no more arguments with u sir,
Tanzanian engineering...LMAO
Kidaraja cha Kigamboni wameshindwa kukijenga mpaka Wachina wamekuja kuokoa jahazi.....hamna lolote nyinyi.
Wachina ni macontractors lkn nikuakikishie wahandisi wa Tz wamehusika kwenye plan na kudesign kwa JV ya Egypt na watakuwepo kwenye supervision what else u what?
Kwa hiyo hapa tafsiri yake ni hakuna!
Kwa sababu kama yangekuwepo ungeyaorodhesha tena kwa fahari kabisa.
Kibarabara cha Bagamoyo sasa hivi kinajengwa na Wajapan....(Konoike).
Selander bridge ilijengwa na Kajima!
Where was Tanzanian engineering?
jamani hata uwepo wa jf si unahusiana na computer engineer,unavyoongea na simu c makampuni yameajiri telecom engrs,majumba hata humo ulipo sa hz si eng kama mmiliki alimuhusisha lakini,hv ni vya kuambiwa?
Eng. Mustaafa Suluo,
Eng. John Msemo
NN,
Mabank mengi kwa sasa yana wahandisi wa Kitanzania na IT wameshika vijana kadhaa ambao nawafahamu kama wahandisi na hata BoT nako wapo. Haya mabadiliko unayoyaona ni wao.
JAMIIFORUMS, kwa asilimia kubwa ni Wahandisi wa Tanzania.
Wahandisi wa uhakika wa Tanzani wote wako nje ya Tanzania. Hapa kuna makanjanja tu, huoni ma boksi yaliyojaa Kariakoo?
Si waliopo Serikalini si waliopo mitaani. Yote mikanjanja, tena hao waliopo Serikalini ndio kabisa hawana ubunifu, hawana kuona hapa hili osa, wao michuzi tu, ikiwakatia wako tayari kufanya chochote hata kupinda sheria, ndio maana tumeon a mighrofa kadhaa ikiporomoka, tumeona watu wakijenga hovyo sehemu za wazi kama bonde la Jangwani, hawa wahandisi walikuwa wapi?
Yote hiyo ni mikanjanja tu.
Ok,haya nn twende kampuni ya mosha aliyekufa mwaka jana ni ya mzungu?aggreneb ya mboma ni mzungu?ml engineer ni mzungu?unajua tofauti ya mkandarasi na mhandisi?
Nenda website ya erb angalia all local firms kisha zichunguze acha uvivu wa kutaka utajiwe,then utajua watanzania tunaweza,ok nani amekuambia eng kazi yake ni kuvumbua?
Ok,haya nn twende kampuni ya mosha aliyekufa mwaka jana ni ya mzungu?aggreneb ya mboma ni mzungu?ml engineer ni mzungu?unajua tofauti ya mkandarasi na mhandisi?