Wahandisi wa Kitanzania Popote Mlipo

Kwa mara ya mwisho nimetumia software kama AutoCard na Solidworks nikiwa COET kuchora design drawings kwa ajili kutengeneza machine kama final project. By the way i was studying Mech. Eng.
Tatizo la bongo ni upatikanaji wa kazi na aina za kazi wanazofanya hawa Engineers wetu. Nikijaribu kujiangalia mimi mwenyewe sasa hivi nafanya kazi kama airworthiness inspector na sio mech. eng. tena kwa hiyo siwezi kutumia tena hizo software. Nikiangalia jamaa tuliograduate pamoja wengi wao wanauza magari na vifaa mjini hapo yaani ni salesmen.
Thus why is too difficult to get vivid examples of the final products manufactured thru these nice helping software.
Be patient may be you shall get some crues later on.

Asante. What you are doing is confirming that we are BUYERS/USERS and not Manufacturers.......
 
najaribu kukutumia PM haikubali,au hutaki kupokea pm?

We Mohamed ni Engineer wa kutuma PM tu au? Hebu changia bana. Sio tunang'ang'ania kuwa wanasiasa wote......ndio maana tunaona picha za mashimo kwenye barabara zetu kama wote tukiwa wanasiasa.
 
We Mohamed ni Engineer wa kutuma PM tu au? Hebu changia bana. Sio tunang'ang'ania kuwa wanasiasa wote......ndio maana tunaona picha za mashimo kwenye barabara zetu kama wote tukiwa wanasiasa.

Mkuu mi naona siasa inalipa zaidi ya uhandisi ndo maana kila m2 anabanana kwenye siasa! What happens ni kwamba hizi CAD/CAM packages zote ziko predesigned kwa hiyo wengi wetu hatujui kile kinachoendelea ndani ya black box na ndio maana tunabakia kuwa users tu na sio watengenezaji.

Mi nilitumia AutoCAD kwa kufanya Mechanical, PID na Structural Drafting kwa muda. Hizi kazi zangu zilikuwa zinahusiana na designs/ Modifications kwenye equipments tulizokuwa tunatumia katika kazi zetu. Ila pia hata hizo Mods zilifanyika kufuatana na pre-designed equipment ambayo details zake unapewa kabla so it becomes a matter just incorporating the new design into an existing.

Naamini Wahandisi wa kibongo wako vizuri japokuwa hizi packages zinakosa serious applications katika real life!! Mfano ni kama ukiangalia miradi yote inayofanyika bongo kama ya barabara, umeme, madini n.k utakuta Wahandisi wetu wengi wanakuwa involved in those very small units like maintainance after commissioning!! sasa hii utakuta ni kitu kinachofuata tu OEM manuals n.k. Ni lini such an Engineer will get to utilise his technical expertise?? Hili suali ndio nadhani ni la msingi zaidi!

Mi nakubaliana na wewe Nzoka kwamba we seem to be users/buyers than manufacturers!!! and thats the truth though it hurt.
 
Back
Top Bottom