Kumbe mna bei nafuu hivo...mbna hamsemi....watu wanaogopa gharama zenuUkienda mtaani unakuta mtu anajenga nyumba ya kigorofa kimoja, chini anasimamisha nguzo za zege alafu analaza tofali zote za ile sehemu ya chini. huku ni kuongeza gharama za ujenzi ambako kama wangekuwa wanatumia wataalamu bila shaka gharama zingepungua.
Unakuta mtu anajenga nyumba kwa kujitahidi kuweka choo cha public na masta ya nyumba karibu ili etu kupunguza gharama. gharama anazopunguza ni bomba za maji machafu ambazo gharama yake ni ndogo sana na akienda kuezeka anaezeka kama kanisa.
Jamii inatumia umbumbumbu katika ujenzi ambao wataalamu wakitumika gharama za ujenzi zitapungua na ubora utaongezeka