Wahandisi tunataka kila anayejenga ghorofa lazima usanifu na ujenzi atumie wahandisi

hata mafundi wa kawaida wanajiita ma engineer na ndiyo hao umekutana nao
Najua unijui ndio maana unanichukulia poa nina elimu na nina uwezo kiuchumi na nina mijengo ya mfano Dar na mikoa kadhaa so don't judge me wrong
 
Kama kufungua biashara ya duka la dawa ni lazima udhaminiwe na dakitari inakuwaje shughuli za kihandisi zinafanyika bila kuhusisha wahandisi.
.

Hakuna daktari anayehusika katika kufadhili duka la dawa. Madaktari hawajui mengi kuhusu dawa, hiyo ni taaluma nyingine.
 
Hata ukisoma hoja za wasomi wakada hiyo utagundua kitu mnaobisha bisheni tu kwass tunaokutana nao baadhi yao hawana uwezo huo kamawanavoona wao nimeshuhudia mara kwamara hao walimu wao wanakosolewa nahao mafundi wamtaani dalasa la7 nafikiri vitabu vinatumika zaid kuliko vitendo
 
Cha kuropoka usiyoyajua

Ukoloni bado unawatawala fikra zenu kudhani ngozi nyeupe inajua na watu weusi hawajui ila mtafuta namna ya kuficha fikra potofu zenu.

wapeni nafasi ndugu zenu wai9komboe jamii yenu kwa faida yenu na vizazi vyenu
 
Kama kufungua biashara ya duka la dawa ni lazima udhaminiwe na dakitari inakuwaje shughuli za kihandisi zinafanyika bila kuhusisha wahandisi.

Kufungua gereji, ujenzi wa majengo ya gharama, sehemu za kuchomelea, n.k yote haya yanafanyika holela.

Kama madaktari wameweza hivi sisi wahandisi tunashindwa nini?

Nadhani tofauti kubwa ni madaktari wanacho chama strong kinachowatetea na sisi wahandisi tupo tupo tu.

Ni lazima jamii ijenge mazingira ya kujiri wataalamu inaowasomesha.
Ni kweli itaongeza ajira kwa vijana
 
Siku ghorofa lako likikuangukia ndio utajua umuhimu wa wahandisi.
Wako mafundi wamewazidi na mavyeti yenu.

Nawaomba wasomi wa kitanzania kufuta mentality kuwa kumiliki vyeti na kuitwa mhandisi basi Wewe ni bora kuliko mafundi wa mtaani.Kuna mafundi kutokana na exposure waliyo nayo ktk kazi zao Ni wazuri kuliko nyie na vyeti vyenu.

Ukiwa
mhandisi unaweza pia kujishikiza KWA Hawa mafundi ili angalao jamii ikutambue.lakini nyie hamtaki kuanzia mahali fulani.

Unakuta mtu katoka shule juzi anajiita mhandisi anataka naye apate tenda ya jengo fulani.Hujawahi kusimamia site yyte unataka kazi.Narudia lazima uanzie mahali fulani chini. Halafu wao ni wahandisi wa magorofa tu.

Pili, bei zenu Sasa hazishikiki.
 
wako mafundi wamewazidi na mavyeti yenu.

Ma Engineer wa TBA walishindwa kazi ya kuset foundation ikabidi Fundi mzoefu darasa la 7 awasaidie kuset.
 
Jamaa ni darasa la 7 ila anapewa kazi kubwa za TBA ,sasa wale ambao ndio ma Engineer jamaa anasema ni vilaza mbaya,hawajui kitu,wao wanajua mambo ya kwenye karatasi tu,kuna kipindi engineer alisema waset beam 70 ,ikabidi fundi mzoefu amwambie unaijua beam ya 70 inavyofanana? Jamaa kwa uzoefu ikabidi awafundishe kwamba beam ni 45!
 
Kama kufungua biashara ya duka la dawa ni lazima udhaminiwe na dakitari inakuwaje shughuli za kihandisi zinafanyika bila kuhusisha wahandisi.

Kufungua gereji, ujenzi wa majengo ya gharama, sehemu za kuchomelea, n.k yote haya yanafanyika holela.

Kama madaktari wameweza hivi sisi wahandisi tunashindwa nini?

Nadhani tofauti kubwa ni madaktari wanacho chama strong kinachowatetea na sisi wahandisi tupo tupo tu.

Ni lazima jamii ijenge mazingira ya kujiri wataalamu inaowasomesha.
Hii nzuri sana. Na mtengeneze standards garage kamili iwe na vitu gani isiishie kuwa na spana tu.

Kuna shida kubwa ya mafundi wa AC kwa kweli ni shida mno

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Ukienda mtaani unakuta mtu anajenga nyumba ya kigorofa kimoja, chini anasimamisha nguzo za zege alafu analaza tofali zote za ile sehemu ya chini. huku ni kuongeza gharama za ujenzi ambako kama wangekuwa wanatumia wataalamu bila shaka gharama zingepungua.
Wataalamu ndo shida. Hamuwezi kupigiwa miluzi muonekane bali mnatakiwa kuonyesha huduma zenu tuwatafute
 
Hii tunaita kuendesha nchi kwa kutumia umbumbumbu.

Shule peke yake haimfanyi mtu kubobea katika fani yake bali shule pamoja na exposure baada ya shule.
Watoto wa Kibongo ambao wazazi wao wana uwezo walau kidogo ni shida. Kupelekwa shule tu ni lazima umlazimishe na kumtishia ndio anaenda. Yaani wanataka maisha ambayo hawajayatolea jasho hata kidogo.
 
Wanoamini mafundi MICHUNDO kufanya kaz nzuri bila supervision ya engineer nikutoelewa gharama yake.
FB_IMG_1637085070806.jpg
FB_IMG_1636977887422.jpg
 
Jamaa ni darasa la 7 ila anapewa kazi kubwa za TBA ,sasa wale ambao ndio ma Engineer jamaa anasema ni vilaza mbaya,hawajui kitu,wao wanajua mambo ya kwenye karatasi tu,kuna kipindi engineer alisema waset beam 70 ,ikabidi fundi mzoefu amwambie unaijua beam ya 70 inavyofanana? Jamaa kwa uzoefu ikabidi awafundishe kwamba beam ni 45!
Why beam iwe 450mm? nadhan hiyo ndo kaz ya profesional..hii field inaitaj ujifunze kila muda na uwe mtafit wa sehem nyingi..Mafundi michundo ni wazuri sn ila uzoefu haiwez kuzid professional.
 
Mkuu beam 45(450mm) walikuwa wanajenga ghorofa moja(Residential) ndiyo standard ni kama kwenye tofali 6" za kulaza kwenye ghorofa zinacheza 15 mpaka 16 ndiyo unapiga beam au za kusimama kawaida kozi 10/11 kisha beam(linta) hizo ni standard,sasa engineer wa TBA akamwambia fundi la 7 beam kwenye mchoro imeandikwa 70 ,ndipi std 7 akakataa akamwambia beam 70 ukifunga box lake unaweza ikafika kwenye kitovu na nondo utaweka 8 ndipo akakubali waweke 45.

Professional yeye ni kwenye makaratasi ndiyo mtaalam ila field(Site) mweupe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom