Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,259
Nimepita sehemu ya Jangwani juzi na hali ya pale inasikitisha.
Kwa sasa mapito ya mto yamebadilika kabisa, na mto Msimbazi haukidhi overland flow ya storm water-maji ya mvua.
Pale kumewekezwa rasilmali kadhaa, tena nzito, moja ni karakana ya UDART.
Kutokana na hali halisi ya mabadiliko ya maji yanayokusanywa upstream, tukumbuke kuwa eneo la kukusanya maji ya mto Msimbazi ni lile lile, lakini kutokana na ujenzi wa nyumba nyingi sana kadri miaka inavyoenda, ile tunaita percolation into the soil imepungua sana(maji kuingia ardhini).
Hivyo maji yote yanaelekezwa bonde la mto Msimbazi.
Daraja la mo Msimbazi si tu kwamba halitosh bali mchanga na vifusi vimepunguza sana ufanisi wa daraja.
Mimi ni mhandisi, kuna njia mbili au tatu kurekebisha hali hii.
Na njia zote zinahitaji uwekezaj mkubwa sana.
Naamini tusipo badilisha mawazo jinsi ya kutatua matatizo ya kufurika Jangwani, tutaonekana kama wahandisi tusioenda na wakati.
Tukumbuke kwa waiofika Netherlands, karibia 26% ya eneo la nchi yote iiko below sea level.
Na 50% ya nchi nzima iko 1metre above sea level.
Yaani ni sawa na nchi nzima kuwa kama eneo la Coco Beach, lakini ni wahandisi waliookoa hali na nchi inakalika.
Lets try to think outside the box!!

- Kutengeneza waterway toka Selander Bridge mpaka Kigogo. Yaani kuupanua sana mto, na isiwe kadaraja ka mita 50 pale Jangwani bali hata mita 100 au 150 ili hata boti ziweze kupita chini.
- Kunyanyua sana tuta toka Fire hadi Magomeni Mapipa, sambamba na kupanua daraja na kuondoa kifusi mtoni(dredging). Hii itafanya njia kupitika vipindi vyote.
- Kufanya protected river training kuanzia mwisho wa waterway hapo juu hadi Vingunguti.