Wahamiaji wa mataifa mbali mbali waandamana kudai sheria za uhamiaji Washington DC

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=2]Thursday, April 11, 2013[/h][h=3][/h]

Maelfu ya wahamiaji wamejitokeza kwa wingi kufanya maandamano leo Jumatano katika mjii mkuu wa Washington DC kutafuta kuungwa mkono kwa ajili ya kupata hati juu ya mageuzi ya uhamiaji kufanyika haraka iwezekanavyo.


_DSC3631.JPG

Baadhi ya wanafunzi na mbali mbali wakiwa wameshika mabango yenye kuonyesha mabango yaliyo andikwa Justice and Dignity for all US Immigrants (Picha na swahilivilla.blogspot.com)


Wakati bipartisan Seneti ya Marekani jopo linalojulikana kama "Kikundi cha wajumbe wa Sanete" wapo katika kazi ya muswada wa kuweka mageuzi ya uhamiaji - ambayo baadhi ya wanachama wanatarajia kuwa tayari kwa ajili ya umma yatangaza haraka wiki hii - wahamiaji makundi ya haki ni ya maandalizi ya maelfu ya watu kuhamasisha katika mji mkuu wa taifa ili kuweka shinikizo juu ya Congress kupitisha muswada.


_DSC3822.JPG

Maelfu ya wahamiajia wakiwa mbele ya Makao makuu ya Capitol Hill Jijini Washinton wakisikiliza mkutano juu wa sheria za uhamiaji siku ya Jumatano April 10,2013


_DSC3819.JPG

Wahamiaji wa mataifa kutoka majimbo mbali mbali wakisikiliza mkutano mbele ya Capitol Hill Jijini Washinton DC


_DSC3664.JPG
Maelfu ya wahamiaji wa mataifa mbali mbali waliohudhuria katika mjii mkuu wa Washington DC kwaajili ya kupigania haki na usawa kwa wahamiaji wote waliopo hapa Nchini Marekani


_DSC3665.JPG

Mwana dada kutoka nchi ya Honduras akionyesha Sign inayosema America Say yes to Citizenship


906334_10152718914595247_1020674551_o.jpg

Kina Mama kutoka All the way from New Jersey Original From Africa Senegal wakiwa katika mjii mkuu wa Washington DC kupigania mageuzi ya uhamiaji.


_DSC3783.JPG

Wazee wa Jumuiya ya kiAfrika wanaojiita kwa jina la Bukina kutoka New Jersey wakiwa mbele ya mjengo wa Capitol Hill liliopo Washington DC


_DSC3664.JPG

Maelfu ya wahamiaji kutoka Majimbo mbali mbali ya America wakielekea mbelee ya jengo la Capitol Hill liliopo Washington DC


903607_10152719171520247_1952973509_o.jpg

Chief wa swahilivilla awakilisha Tanzania na kuwatakia watanzania wote wanaoishi hapa Marekani wawe na uvumilivu na kuendelea kuchapa kazi kama hawaida madhali mnalipa tex kitaeleweka tu.

Vile vile na ndugu zetu waTanzania mliopo nyumbani tunawaomba mtuunge mkono juu ya swala la raia wa nchi mbili kama ndugu zetu wa Kenya ili mzidi kuneemeka na neema tunazozichuma ughaibuni tunaomba ipitishwe kwa faida yetu waTanzania wote kwa ujumla.


_DSC3650.JPG


_DSC3680.JPG


_DSC3695.JPG


_DSC3708.JPG


_DSC3724.JPG


_DSC3792.JPG


_DSC3801.JPG


_DSC3820.JPG


Posted byAbdul Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook




Reactions:



[h=4]No comments:[/h]

[h=4]Post a Comment[/h]





Newer PostOlder PostHome
 
Katika kuangalia hizo picha nimepatwa na moja, wanaonekana watu wengi kutoka Mataifa mbalimbali, na wote wameshika Mabango yaliyoandikwa kwa Lugha zao, kasoro Ngedele ndio wameandika kwa Kifaransa, sasa swali langu Je, Kama kungekuwa na Watz hapo wangeshika Bango lao lililoandikwa Kiswahili au wangeandika Kiingereza?
 
We Mpemba hujambo? Habari za Zanzibari msikotaka wengine waje japo mnajazana kwa watu!

Nashukuru umetuwekea ukweli wa jinsi dunia inavyoikubali Marekani japo mkikosa nafasi ya kwenda huko mnaisema vibaya. Umeshawahi kujiuliza kwa nini hakuna rundo la watu kama hilo wanaotaka uraia wa Saudia, Iran, Iraq na Syria?

Salam zao Chake Chake, waambie Maji Maiti yameadimika huku maduka ya dawa asili, na ubani mashtaka pia. Ila mayai viza na nazi bado tumejaaliwa vya kutosha. Kama Makame ama Shaame yuaja upande huu atufanyie hisani, Marashi Mujhe yamekwisha kabisa. Na hata ubani dhukra nao unaelekea ukingoni.

Salam kwao Kombo, Shaweji na Shaame. Wambie Shamte amekwenda Musoma kufungua duka jipya lkn ndio hivyo tena hata Sanda hana za kutosha kwa hiyo Mkubwa afanye hima ampatie Makame ama Shaame aje na mzigo. Kibwana kaoa mke wa pili, inshallah mwezi shaaban wanataraji mtoto.
 
Back
Top Bottom