georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Katika hali isiyo ya kawaida Idara ya Uhamiaji inashindwa kuwachukulia hatua wafanyakazi wa Kihindi na Ki-Turkey waliojaa bila vibali vyovyote katika mladi wa De Ecco.
Taarifa rasimi zinasema walifika kuwakamata mwaka 2013 lakini Waziri mkuu wa wakati huo alitoa agizo la kuzuwia kuendelea kuwachunguza au kusogea pale Dege Ecco. Kwa hiyo Uhamiaji hawaruhusiwi kufika wala kuwachunguza watu hao ambao wanakadiliwa kufikia 500.