chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Kikosi cha uhamiaji mkoani Morogoro kimefanikiwa kuwakamata jumla ya raia 21 kutoka Ethiopia na mwingine kutoka nchi ya Bahrain katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Morogoro na kuwafikisha mahakamani ambapo wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili kila mmoja.