Wahamiaji haramu 106 kutoka Somalia watinga Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wahamiaji haramu 106 kutoka Somalia watinga Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by idea, Feb 7, 2011.

 1. idea

  idea Senior Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 120
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Watu wapatao 106 (wasichana wawili tu) wanaoonekana kuwa ni raia wa Somalia wamekamatwa katika ufukwe wa bahari ya Hindi karibu na kisiwa cha Jibondo wilaya ya Mafia. Watu hao inasadikika walikuwa njiani kuelekea msumbiji ndipo walitia nanga usiku wa tarehe 6.2.2011 kisiwani. Hali zao hazikuwa mbaya sana japo walionekana kuchoka sana na kukosa maji. Kwa sasa wako mikononi mwa serikali. Picha zitakuja baadae. Swali langu ni Je kitu gani kinafanya Somalia kusikalike? viongozi wa Tz wanajifunza nini katika hili?
   
Loading...