Wahamiaji CCM: Mwita Waitara vs Lau Masha mmoja anapeta mwingine anasota je dhana ya kununuliwa bado mnaiamini?

Hivi uyu mleta mada ata darasa la saba alifika kweli?
Hahahaa ......mbona Mbowe alizungusha form lakini anawamiliki ninyi wote hapo Ufipa kuanzia Prof Safarini.....hadi yule kichwa maji Sugu.....achilia mbali wewe mtengeneza kisusio!
 
Nikikwambia uwezo wako wa ubongo ni mdogo sana unabisha,sasa kuna uhusiano gani kati ya kuzungusha form 6 na kukomea darasa la3c
 
Kweli una akili kidogo sana dhana ya kununuliwa iko palepale hawakununuliwa ili wasinyanyaswe au wapige kazi Walinunuliwa ili WAUDHOHOFISHE UPINZANI
Nikiangalia uwezo wa kujenga hoja kati ya viana wa CCM na wapinzani humu napata jibu ni kwanini Magu anawavutia wapinzani kwenda CCM
 
Masha na Mwita Waitara ni wanaccm waliohamia Chadema kwa mbwembwe na baafse kurejea CCM. Wapo waliodai kuwa wawili hawa pamoja na wale wengine wamenunuliwa na CCM na sisi wengine tukabisha.
Juzikati nilimsikia Masha akilalamika kupitia Clouds tv kuwa serikali inamnyanyasa kwa kuxifungia ndege zake za Fastjet na kwamba yeye ana!iliki 68& ya hisa za fastjet.
Kwa upande mwingine Mwita Waitara kahamia CCM na kupewa uwaziri moja kwa moja na sasa anapiga Hapa Kazi Tu.

Wale waliodai wawili hawa walinunuliwa njooni hapa mjitetee.

Nawatakia Christmas njema!
Kumbe hujui kitu, kumbe na wewe ndio hao hao wakina Kabudi, Kitila and Co. Ltd! Unalinganisha kutoka kwa masha na Waitara, they have got quite different backgrounds! Their scenarios are quite distinguishable !
 
Nikikwambia uwezo wako wa ubongo ni mdogo sana unabisha,sasa kuna uhusiano gani kati ya kuzungusha form 6 na kukomea darasa la3c
Kumbe alizungusha form 6.....hahahaa!!!.... Sikulijua hilo mimi nilizungumzia kuzungusha "form"
So katika karne hii bungeni tuna kiongozi wa upinzani aliyefeli kwa kiwango cha sifuri kidato cha Sita hii kali nilikuwa siijui. Kumbe ndio maana aliruka dhamana mahakamani!
 
Kumbe hujui kitu, kumbe na wewe ndio hao hao wakina Kabudi, Kitila and Co. Ltd! Unalinganisha kutoka kwa masha na Waitara, they have got quite different backgrounds! Their scenarios are quite distinguishable !
Swsla ni hawajanunuliwa......wamevutiwa na utendaji wa serikali ya CCM fullstop!
 
Kumbe alizungusha form 6.....hahahaa!!!.... Sikulijua hilo mimi nilizungumzia kuzungusha "form"
So katika karne hii bungeni tuna kiongozi wa upinzani aliyefeli kwa kiwango cha sifuri kidato cha Sita hii kali nilikuwa siijui. Kumbe ndio maana aliruka dhamana mahakamani!
flight of idea
 
Kumbe hujui kitu, kumbe na wewe ndio hao hao wakina Kabudi, Kitila and Co. Ltd! Unalinganisha kutoka kwa masha na Waitara, they have got quite different backgrounds! Their scenarios are quite distinguishable !
Umemjibu vizuri sana
 
Back
Top Bottom