Wahamiaji 372 waondolewa nchini

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12439156_1026911477373310_2665154136746846452_n.jpg
 
Safi an. Ishakuwa walikuwa wanatumia mianya ya sheria zilizokuwa na usimamizi mbovu kuajiriwa na kufanya kazi ambazo ambazo sisi wazalendo tunaweza kuzifanya
 
Na bado wengi bado wamo nchini. Kuna jamaa angu mmoja hivi yuko sehemu huu ni mwaka wa 6 yumo nchini kinyemela.

Kila Maafisa wa uhamiaji wakimfata anamalizana nao kwa kuwapa kitu kidogo.
 
Back
Top Bottom