Ni CCM pamoja na wanachama wakeHeshima mbele wakuu
Naomba kuuliza WAHAFIDHINA maana yake nini?je neno ni la lugha gani?ni sifa zipi zinazomtambulisha mhafidhia kwa jamii?
kwa kuongezea tuu ni ma-conservative wenye misimamo mikali wasiotaka mabadiliko (fundamentalists), hivyo wako tayari kufanya lolote ili kuhakikisha wanalotaka wao ndilo.Ni mtu hasiyependa mageuzi au mabadiriko ya kimaisha, mara nyingi utumika kwenye siasa (<i>conservative</i>
Mi nilifikiria Fundametalists ni watu wenye kufuata misingi ya ukweli wa jambo wanalo liamini.yy kwa kuongezea tuu ni ma-conservative wenye misimamo mikali wasiotaka mabadiliko (fundamentalists), hivyo wako tayari kufanya lolote ili kuhakikisha wanalotaka wao ndilo.
Ni CCM pamoja na wanachama wake
Heshima mbele wakuu
Naomba kuuliza WAHAFIDHINA maana yake nini?je neno ni la lugha gani?ni sifa zipi zinazomtambulisha mhafidhia kwa jamii?
Wasiopenda mabadiliko hasa ya kisiasa,mfano,wanaotaka UJAMAA tu hawataki demokrasia kwamba kiongozi mmoja atawale daima na hamna katiba mpyaKwa anayefahamu maana ya hilo neno naomba kufahamishwa. Ahsante.
✅Wasiopenda mabadiliko hasa ya kisiasa,mfano,wanaotaka UJAMAA tu hawataki demokrasia kwamba kiongozi mmoja atawale daima na hamna katiba mpya
CcmWatu wenye misimamo isiyobadilika