Wahadhiri wa Vyuo Vikuu na mishahara ya Wabunge na Wakurugenzi Mashirika ya Umma

Walimu wakulipwa hela nyingi ni wa shule za msingi tu wengine watajijua hasa chuo kikuu huwa hawafundishi zaidi ya kutoa 25%
Kwa hiyo ulitaka ufundishwe kwa 100% ukiwa Sekondari na pia Chuo!!

Wanawake wa aina yako huwa mnakua wategemezi sana katika maisha yenu ya kila siku.
 
Na hapo simaanishi kwamba wabunge na maCEO wa mashirika ya umma ni sawa kulipwa mishahara mikubwa isiyolingana na uhalisia wa GDP ya nchi. Hao nao ni majizi tu ya pesa za umma na siku akipatikana kiongozi mwenye common sense anaweza kupunguza hiyo mishahara na sisi wananchi tutamsapoti tu tena sana.

Hii nchi ina unyonyaji mwingi sana. Hii nchi ilipaswa kufuata model ya kila mtu kulipwa kulingana na tija anayoingiza kwenye taasisi anayofanyia kazi. Basi.
 
Watu wenye elimu kubwa kama hizo wasipotumia elimu zao kutengeneza pesa basi hii nchi itakuwa imelaaniwa. Kama vijana wadogo tu kabisa wenye degree wameweza kupenya na kufanya mambo makubwa bila msaada wa serikali, sasa tusemeje kwa maprofesa?

Tatizo tulilo nalo ni kwamba tuna mijitu ina PhD za kupika, majitu yanasoma tu elimu ya kikasuku tu ali mradi yaonekane kwenye jamii yana PhD. Lakini ukiyaweka nje ya system ya serikali kwa kufundisha vyuo vikuu vya umma hayawezi hata kusurvive.

Hii nchi imeangushwa sana na wasomi wa vyeti tu na sio wasomi wenye maarifa.
Hii ya kusingizia PhD za kupika ni uzushi, ingekuwa rahisi kupika PhD kama unavyopika mlenda kila mtu angekuwa nayo, kifupi nchi hii haithamini wasomi na wataalamu ndo maana haiendi popote. Ukishaua morale ya wasomi hakuna watakachofanya zaidi ya kutumia vichwa vyao kuendelea kufuga nywele, hakuna anayekubali kuhangaisha kichwa chake pale ambapo hathaminiwi.......
 
Kwa Afrika politics inalipa Sana Ila Kama una career yako na unajiamini kuwa uko competent. Please sepa nje fanya kufa na kupona. Daktari nchini kanada wa md analipwa like 75M Tzs money. Nje nje mbele kwa mbele kwa mbele sepa middle ongeza mbele msela. Huyu dada ni mtanzania Yuko shirika la NASSA Ana calculate velocities za satellites thus no collision between them.
Unajua analipwa Bei gani. Unakuta ni hela za wabunge wenu Kama 15.
Yaani mshahara wa daktari wa bongo ni hela ya kulala na Malaya classic usiku mmoja nchini Russia ama Moscow.
Afrika wenyewe hatupendi kujikomboa. Acha wazungu watutumie Kama dampo na kuchukua cream like gold and very gifted elite people waendeleze kwao.jiulize why blacks America na blacks Indians i.e siddis ,na wa fiji hawajataka kurudi kwao Afrika.
Yaani kila siku nasema nikishakuwa na hela ya kununua apartment nje ya kukaa na familia yangu nasepa mapema Sana. Afrika sio kabisa. Kiongozi anamfilisi tajiri na ukiwa na maisha mazuri Kuna watu wanaumia utadhani wametolewa wao ukapewa wewe. I hate kuchukia mwenye nacho.
2900257_img-2161.jpg
 
Nakuelewa sana tu. Hata hivyo sometimes ni lazima ukweli usemwe ili nchi yetu ipige hatua kwa ajili ya future ya nchi yetu, watoto wetu na vizazi vyetu vijavyo.

Vyuo vyetu vikuu ni sehemu ya ujinga mwingi uliomo kwenye nchi yetu wa kutumia pesa za umma bila tija yoyote ya maana inayoonekana kwenye jamii. Ungekuwa umo ndani ya system ya vyuo vikuu vya umma vya Tanzania ungeshangaa kuona jinsi wakuu wa vyuo wanavyoprioritize maslahi yao binafsi kuliko agenda halisi za uwepo wa vyuo vikuu.

  • Utashangaa kuona magari ya viongozi wa vyuo yakiharibika kesho yake linaenda kutengenezwa fasta au kununuliwa jipya kabisa (pesa hiyo huwa haikosi), lakini vifaa vya maabara vikiharibika hiyo ndio ntolee.
  • Utashangaa kuona vyuo vikuu vyenye idara za sayansi (kama biolojia, chemia na fizikia) havina maabara functional yenye vifaa hata basic katika kufanyia tafiti, lakini vyuo hivyo havikosi bajeti ya kununua magari mapya.
  • Utashangaa kuona vyuo vinakaa vikao mbali mbali vinavyolipa mapesa mapesa lakini wakati huo huo havina bajeti ya kufanya tafiti.
  • Na mifano mingi kama hiyo.

Vyuo vya umma vipo kwa ajili ya kufanya tafiti, kufundisha na kuleta innovations za maana kwa faida ya nchi, na matumizi ya pesa za serikali huko vyuoni yanapaswa kuakisi hilo.

Ni kweli mishahara ya wahadhiri wa vyuo vya umma ni miduchu lakini pia kazi zao za msingi hawaonekani kama wanazifanya kwa ufanisi. Wapo wapo tu yaani.
 
Hasahasa wanachofurahia kusoma nje na kufanyiwa masaje na watt wenye nywele mpaka takoni ,wanamgusagusa Prof Zile nywele zinaleta raha Sana
 
Kwa Afrika politics inalipa Sana Ila Kama una career yako na unajiamini kuwa uko competent. Please sepa nje fanya kufa na kupona. Daktari nchini kanada wa md analipwa like 75M Tzs money. Nje nje mbele kwa mbele kwa mbele sepa middle ongeza mbele msela. Huyu dada ni mtanzania Yuko shirika la NASSA Ana calculate velocities za satellites thus no collision between them.
Unajua analipwa Bei gani. Unakuta ni hela za wabunge wenu Kama 15.
Yaani mshahara wa daktari wa bongo ni hela ya kulala na Malaya classic usiku mmoja nchini Russia ama Moscow.
Afrika wenyewe hatupendi kujikomboa. Acha wazungu watutumie Kama dampo na kuchukua cream like gold and very gifted elite people waendeleze kwao.jiulize why blacks America na blacks Indians i.e siddis ,na wa fiji hawajataka kurudi kwao Afrika.
Yaani kila siku nasema nikishakuwa na hela ya kununua apartment nje ya kukaa na familia yangu nasepa mapema Sana. Afrika sio kabisa. Kiongozi anamfilisi tajiri na ukiwa na maisha mazuri Kuna watu wanaumia utadhani wametolewa wao ukapewa wewe. I hate kuchukia mwenye nacho.
View attachment 1919737
Nakubaliana na wewe sana tu yaani!

Wasomi wa Afrika wanaojielewa na kuelimika hawasubiri mishahara ya serikali kumake it in life. Ukiona msomi wa kiafrika anahangaika na serikali na mishahara yake ujue ni incompetent tu, au ameamua tu kufanya kazi yake kizalendo bila motivation ya pesa. Hata hivyo I think wengi ni kwa sababu ya incompetence tu.

Ni kweli serikali zetu hazijali wasomi lakini pia wasomi competent watapenya tu , na ni suala la muda tu. Kwanza watu wenye PhD walio competent research zao zinawaexpose kuwa na network za kutosha, mwanzoni wanaanza kwa ugumu kutokana na mazingira ya nchi yetu but give them five to ten years kwenye career yao utashangaa jinsi ambavyo wametoboa.

Na wengi wanatobolea nje ya nchi maana hata mazingira ya vyuoni kwetu siyo supportive kwa watu wenye talanta.
 
Huku mkuu bongo ama kwa waafrika tumebarikiwa big duck mpaka wanatuonea wivu.
We think about sex most of our time
 
Mtu ana PhD analipwa mshahara wa mil 3 au 4 na hapo bado makato kweli unategemea atakuwa na moral ya kufundisha?
Kwani shida iko wapi, wakiona mshahara ni mdogo atumie hizo masters na phd zao kujiajiri watengeneze pesa, ohhh ila nilishasahau kwamba hii elimu yeti imemuandaa mtu kuajiriwa na sio kujajiri, Hakuna namna hapo
 
Habari wana bodi, nimekuwa nikisoma baadhi ya articles zinazo ongelea mchango wa vyuo vikuu marekani katika uchumi wa taifa hilo especially kutengeneza innovators "silicon valley".

Kwa kiasi kikubwa maendeleo ya taifa la marekani yamechangiwa sana na innovations zinazofanywa na taasisi zake za elimu ya juu kama "think tank" ya nchi, kuanzia sera za uchumi, sera za mambo ya nje, etc.

Ukiangalia Taifa letu, wahadhiri wa vyuo vikuu ambao ndio wazalishaji wa wataalamu mbalimbali wamekuwa wakilipwa pesa kidogo sana ukilinganisha na wakurugenzi wa mashirika ya Umma au wabunge( ambao hawana mchango wa maana kwenye taifa hili uki compare na mchango unaotolewa na wahadhiri wa vyuo vikuu. Jiulize kibajaji au musukuma anawezaje kulipwa mshahara na marupurupu kuliko Prof au Dr, wa chuo kikuu?

Mimi ningemuomba Rais Samia waangalie hawa watu kama kweli tunataka hili taifa lisonge mbele. Licha ya kuongezewa mishahara serikali ipeleke pesa za kufanya tafiti mbalimbali na maamuzi ya wanasiasa yazingatie recommendations za wataalamu wetu.

Mtu ana PhD analipwa mshahara wa mil 3 au 4 na hapo bado makato kweli unategemea atakuwa na moral ya kufundisha? Au ndio atakuwa busy kufanya kazi zake za nje? Serikali inatakiwa kuona wapi inaweza kuwekeza pesa na zikawa na tija kwa taifa hili.
Kwa wengi siasa si maisha ya muda mrefu.....

Mbunge akikaa bungeni vipindi viwili AKATAMBIKE......
 
Wabunge duniani kote kwa kawaida wanalipwa vizuri kwa kuwa ndiyo watunga sheria na ni wawakilishi wa wananchi.

Tatizo la Tanzania wanalipwa zaidi kuliko uwezo wetu. Ndiyo maana inakuwa vigumu kujustify hayo malipo yao na marupurupu yao.

Haaingii akilini serikali imlipe Mbunge 12 million, Mkurugenzi wa shirika la umma 15million halafu lecturer 4 million wakati sources za income ni hiyo hiyo serikali.
 
Watu wenye elimu kubwa kama hizo wasipotumia elimu zao kutengeneza pesa basi hii nchi itakuwa imelaaniwa. Kama vijana wadogo tu kabisa wenye degree wameweza kupenya na kufanya mambo makubwa bila msaada wa serikali, sasa tusemeje kwa maprofesa?

Tatizo tulilo nalo ni kwamba tuna mijitu ina PhD za kupika, majitu yanasoma tu elimu ya kikasuku tu ali mradi yaonekane kwenye jamii yana PhD. Lakini ukiyaweka nje ya system ya serikali kwa kufundisha vyuo vikuu vya umma hayawezi hata kusurvive.

Hii nchi imeangushwa sana na wasomi wa vyeti tu na sio wasomi wenye maarifa.
Ingekuwa ni kupika kila mtu angekuwa nayo hiyo PhD
 
Back
Top Bottom