Wahadhiri 4 out wamekufa kishujaa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Wahadhiri 4 waliofukuzwa chuo cha out nawea kusema wamekufa kishujaa;hili ni kutokana na mambomengi yafanyikayo vyuoni kutokuwa hadharani;ila hili na kutokana na maswala binafsi ya mbwete akuna jinsi kuwaambia ni mashujaa wa kitanzania;
awakuwa na nia mbaya kama nilivyosoma moja ya thread
awakuiba
wameongeza ajira za watanzania kwa msaada wao
awakuomba uchi wa mtu kuwapamatokeo kama wahadhiri wengine hapo out;na udsm wanavyoombakuwavua kwanza dada zetu ndiowawap degree
kama vile kuwasshukuru kwa kuweza kuwalinda dada zetu napenda kuwambia ni mashujaa wa taifa watanzania wengi kama wangevuliwa nguo zao sasa tunafikiri kuongeza nafasi pale kinondoni
 
Mwanahalisi wewe sasa ni expert member, weka facts ya unachokisema hili tusiwe kijiweni hapa

hao wahadhiri wanne ni akina nani na wamefanya nini?

Pili udsm ni akina nani wanaowavua watu nguo, madai yako haya pia inabidi umwe mwangalifu-weka facts
 
Mkuu hii tread nimerudia kuisoma kama mara nne na nimeshindwa kuielewa. Imenipelekea kujishuku mwenyewe kwamba huenda naanza kuugua ugonjwa wa mawenge!! NISAIDIENI JF.
 
Mkuu hii tread nimerudia kuisoma kama mara nne na nimeshindwa kuielewa. Imenipelekea kujishuku mwenyewe kwamba huenda naanza kuugua ugonjwa wa mawenge!! NISAIDIENI JF.

tuko wengi basi
 
SHUJAA ? ushujaa wa kijinga kabisa, natamani hii post itupwe kapuni ila gharama za uhuru wa mawazo , na uhuru wa kujieleza , hatupaswi kushangaa , asante kwa kujifunua na kujieleza namna ulivyo....asante kwa kutujulishe namna wajinga na wapuuzi wanavyopewa heshima nyumbani Tanzania.
 
Mkuu hii tread nimerudia kuisoma kama mara nne na nimeshindwa kuielewa. Imenipelekea kujishuku mwenyewe kwamba huenda naanza kuugua ugonjwa wa mawenge!! NISAIDIENI JF.

Huyu Mwanahalisi bila shaka ni matunda ya hao anaowaita mashujaa. Kama mtu una uwezo wako, bidii na malengo kwa nini uvue nguo, utoe pesa au uwatumie wapumbavu kama hao wa OUT ili kupata digrii? Halafu ukiishaipata hiyo digrii kwa njia hiyo unajiona msomi au garasa tu? Watu kama hao ndiyo chanzo cha Ufisadi. Usiotegemee mtu kama huyo akishika madaraka awe muadilifu hata kidogo.
 
Mwanahalisi - Where are YOU?

Tungependa kujadili kama thread ungeiweka sawa sawa - wengine ndio tumechukua form kujiunga OUT!
 
Huyu Mwanahalisi bila shaka ni matunda ya hao anaowaita mashujaa. Kama mtu una uwezo wako, bidii na malengo kwa nini uvue nguo, utoe pesa au uwatumie wapumbavu kama hao wa OUT ili kupata digrii? Halafu ukiishaipata hiyo digrii kwa njia hiyo unajiona msomi au garasa tu? Watu kama hao ndiyo chanzo cha Ufisadi. Usiotegemee mtu kama huyo akishika madaraka awe muadilifu hata kidogo.

hahaaaaa huko sijafika mkuu!!!
 
Mkuu tumekuomba uiweke taarifa sawa sawa, tujuvye what happened, umeiweka thread as if everyone is aware whats is on at OUT
 
Back
Top Bottom