Waha hebu jifunzeni basi kuwa na ' Adabu ' hata kidogo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
Nyie ' Watani ' zangu sijui mmerogwa na nani hakyanani yaani popote mtakapokuwa mkishajijua tu ni Ndugu kutoka Kigoma basi mtaanza Kuongea hapa Kilugha huku mkipiga Kelele ( mkiongea kwa Sauti ya juu ) utadhani mmoja yupo Tegeta Nyuki na mwingine Mbagala Kizuiani kumbe mpo jirani tu kabisa.

Kwanini nimesema kuwa Jifunzeni kuwa na ' Adabu ' kidogo ni kwamba leo nilikuwa namo nimeenda Kushusha Gogo langu ( Kunya / Kuukweka ) katika moja ya Choo cha Umma katika Kituo Kimoja cha DalaDala na kilichonishangaza ni kwamba vile Vyoo kwa juu vina uwazi kiasi kwamba ukiwa mwana Mahesabu na Vipimo unaweza pia ukapima au ukakisia Mwenzako wa Chumba cha jirani ' amekunya ' aina gani ya Mavi / Makimba kwani hata yakidondoka kule ambako yanaogoleaga huwa yanasikika kwa Sauti tena kubwa tu ya ' Chubwi ' unajua ' Kitu ' kimeshateremshwa tayari na ' Mwanamume ' wa Shoka.

Kilichonishangaza hasa leo ni pale ambapo vile Vyoo vipo Saba ( 7 ) vimefuatana na nakumbuka ' Mwanamume ' nilikuwepo cha katikati na Njemba zingine mbili nazo zilikuwa Vyumba vingine na Chumba cha Kwanza aliingia Muha mmoja na Chumba cha mwisho pia aliingia Muha mwingine na cha ajabu kama siyo cha Kushangaza Sisi Wenzao wote tulikuwa Kimya tukiendelea tu Kushusha ' Vitu ' ila Wenzetu hawa Waha wao wakawa wanafanya mambo mawili kwa wakati mmoja ambapo pamoja na kwamba na Wao walikuwa ' wakinya / wakiukweka ' kama siye ila Wenzetu muda wote walikuwa wanapigizana Kelele tu huku ' wakibishana ' kama kawaida yao wakikutana hali ambayo ilinishangaza kweli kwani vile Vyoo vinatoa harufu Kali tu lakini hawa Waha wao hilo wala halikuwa tatizo na wakawa wanaendelea tu Kutupigia makelele.

Waha tunapokuwa tunawaambieni kuwa jaribuni basi hata kutembea Mkoani Mara ( Musoma ) mjifunze ' Ustaarabu ' msiwe mnabisha kwani ni ukweli usiopingika kuwa hakuna Watu Wastaarabu na wenye utaratibu mzuri wa Kimaisha kama Watu wanaotoka Mkoa wa Mara ( Musoma ) Sishangai sana kwani ndiyo maana hata Wanawake zenu wanapenda mno ' Kuolewa ' na Watu ( Wanaume ) kutoka Mkoani Mara ( Musoma )

Hata Wahaya wangetusikiliza mapema mno basi Ndugu yao Ruge Mutahaba asingekufa / asingefariki kwani tuliwaambia mapema sana kuwa Mkoani Mara ( Musoma ) kuna Dawa zetu za Kienyeji nyingi tu ambazo tungempa Ndugu yao Ruge na angepona kabisa ila wakatubishia na kusema kuwa Wahaya huwa hawatibiwi na ' Mitishamba ' bali wanatibiwa na Wasomi Wenzao ' Wazungu ' na kweli hao ' Wazungu ' wamemtibia kweli Ndugu yao Ruge Mutahaba hadi amepona kabisa na karudi nchini kuendelea na Majukumu yake kama kawaida.

Watani zangu mpo?

Bado nasisitiza na naendelea kutoa pole zangu za dhati kabisa kwa Msiba wa Ndugu yetu Mpendwa Jasiri Muongoza Njia Ruge Mutahaba, Wazazi wake, Ndugu zake na Watanzania wote popote pale mlipo. Naamini Wote waliokwenda huko Mkoani Kagera ( Bukoba ) kwa Maziko yake Kesho basi watatuwakilisha vyema Sisi akina GENTAMYCINE tuliokosa Nauli ya kwenda huko kwakuwa hata Hela ya Kula tu Kwetu ni tatizo.

Maziko mema Kesho na Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Ruge Mutahaba mahala pema peponi Amen / Amina.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom