Wagonjwa waendelea kumiminika Mloganzila

Nimesikitika kuona bungeni mbunge wa mbeya mjini Ng Mbilinyi alikuwa akisema kuwa miongongoni mwa matatizo ya afya ni pamoja na ukosefu wa vifaa tiba mahospitalini akatoa mfano wa mitungi ya gesi kuwa haikidhi mahitaji ya wagonjwa,
Chakushangaza kuna wabunge wakawa wanampinga na kuomba kutoa taarifa kila mara ilimradi kama vile kufanya hoja yake isieleweke!
Sijui kwanini wale wabunge wamefanya vile
Taarifa mbali mbali za kitafiti na ni wazi kuwa TZ kuna tatizo la uhaba wa vifaa tiba lakini wao wakawa wanaonesha kupingana na hilo!
Sasa najiuliza kweli kutoka mioyoni mwao wameamua kufanya hivyo?!
Wameenda hospitali za serikali mbali mbali wakaona hali ilivyo?
Je wameenda hospitali za mikoa, wilaya, vituo vya afya, zahanati n.k na kuona hali ilivyo?

Yani sijaelewa hata sasa ule ni ushabiki au ?

Yatupasa kujitafakali na kumuogopa sana Mungu!

Uadilifu ni pamoja na kusimamia ukweli siku zote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
well said chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania yetu bado sana kwani kipimo cha RMI ni zaidi ya 400,000. na mgonjwa haperekwa ambaye hana damu. mbona watu maskini bado watakufa majumbani sana. Hiyo hospitali ni kwa ajili ya watoto wa wazito na wenye ajira kubwa.
 
Mzungu anaendelea kuvuna wateja wa dawa zake baadae ya kufanikiwa kuua Tiba zetu za asili. Mi naendelea kuboresha tropical medicine
IMG_20190211_233234.jpg
 
Mkuu we acha tu yani, ilikua tarehe 17 mwezi wa 12 siku ya jumatatu, asubuhi saa 12 navuka kwa miguu pale Ubungo mataa naelekea Mawasiliano, ghafla nikagongwa na bodaboda alikua anaelekea Ubungo Terminal, bodaboda alinigonga nikarushwa kwenye lami nikadondokea kichwa halafu kichwa kikapasuka halafu damu zinaruka na zinatoka mdomoni masikioni na puani na nikawa nimeshapoteza fahamu, bahati nzuri siku hio matrafiki walikua wengi eneo hilo wakanibeba mpaka kituoni kwao wakaniandikia fomu wakanipeleka Mwananyamala Hosipital, nikalazwa hapo mpaka saa nne na madakika ndo nikazinduka nikawa sijielewi nikaelezwa kua niligongwa na pikipiki asubuhi Ubungo mataa Trafiki wakanileta hapo Hospitali.
Pole sana mkuu,hakika Mungu n mwema

Sent from Nokia 7 Plus
 
Hongera kwa kunusura siku yako ilikuwa haijafika
Mkuu we acha tu yani, ilikua tarehe 17 mwezi wa 12 siku ya jumatatu, asubuhi saa 12 navuka kwa miguu pale Ubungo mataa naelekea Mawasiliano, ghafla nikagongwa na bodaboda alikua anaelekea Ubungo Terminal, bodaboda alinigonga nikarushwa kwenye lami nikadondokea kichwa halafu kichwa kikapasuka halafu damu zinaruka na zinatoka mdomoni masikioni na puani na nikawa nimeshapoteza fahamu, bahati nzuri siku hio matrafiki walikua wengi eneo hilo wakanibeba mpaka kituoni kwao wakaniandikia fomu wakanipeleka Mwananyamala Hosipital, nikalazwa hapo mpaka saa nne na madakika ndo nikazinduka nikawa sijielewi nikaelezwa kua niligongwa na pikipiki asubuhi Ubungo mataa Trafiki wakanileta hapo Hospitali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yale madirisha ghorofa za juu kabisa hayana vizuizi ni vioo virefu toka sakafuni mpaka juu, sijui usalama wa wagonjwa upoje maana yaweza kutokea mgonjwa akapatwa malaria ya kichwa akaamua kukimbia akapiga kioo akatokeza nje na kufa

Ingekuwa vema kuwekwe vizuizi kama nondo nene kwa tahadhari
 
Hata mimi nimekuwa na hofu kuhusu usalama kwenye haya madirisha ya vioo. Ni vyema zikaongezwa nondo/vizuizi Kwa ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom