Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 782
Ni kweli mkuu ni kumuomba Mungu tu.Asante kwa ushauri mkuu, naamini na wewe ulikuwa makini na ajali yoyote ile...ila ndio hivyo umesababishwa.
Mhimu ni kumwomba Mungu atuepushe na majanga ya duniani.