Wagonjwa wadaiwa kusafirishwa kwa Machela za Miti Njombe

Elimu ianze kwanza kwa kuzui uanzishwaji wa vijiji holela holela madhara yake ndio haya , tanzania inabidi tufike mahali tuanze kupanga wananchi

Sio mtu anaacha mji anapandisha milimani juu huko mbali kabisa halafu akifika huko anaanza kulalamika hafikishiwi huduma za kijamii ,hili nalo ni tatizo kubwa sana tanzania.
Serikali yenyewe haiwezi kupanga vitu vyake, sembuse hao wananchi.
 
Mbunge wao anaitwa nani. Anashindwa kuwasaidia wananchi wake waliomchagua.
Chama cha Mbunge kinashindwa kusaidia. Mapato tuliyokusanya kwa mwezi yana kazi na faida gani ikiwa wananchi wanaangaika.

Viongozi wao wanapanda ndege wakati wananchi wanashida
Hayo mapato utakuta 30% yanaingia kwenye ununuzi wa ma gari ya kifahari kama alivyosema Polepole
 
Elimu ianze kwanza kwa kuzui uanzishwaji wa vijiji holela holela madhara yake ndio haya , tanzania inabidi tufike mahali tuanze kupanga wananchi

Sio mtu anaacha mji anapandisha milimani juu huko mbali kabisa halafu akifika huko anaanza kulalamika hafikishiwi huduma za kijamii ,hili nalo ni tatizo kubwa sana tanzania.
Umeongea kilimbukeni, utaratibu wa kuanzishwa kijiji upo wazi kabisa, hakuna watu wanaweza kuanzisha kijiji bila kufuata utaratibu
 
Ficha ujinga wako,mbona siku ya uchaguzi tume huwa inafika huko.
Yaan hapa wewe ndiye unaye onekana mjinga zaid kwa sababu hujaelewa context ya nilicho kiandika ila umekurupuka tu kujibu kisiasa ila wenye akili timamu kabisa na walio komaa kifikra wamenielewa
 
Hiyo machela ipo mswano sana, safe and reliable
Kwa muundo wa vijiji ulivyo tanzania hiyo ya kusafirisha wagonjwa haita kwepeka hata kama hospitali itajengwa kila kijiji maana hata ndan ya vijiji kuna ndani mlimani huko watu wameweka vijumba huko kwa hiyo kumpeleka mgonjwa lazima abebwe tu maana si gari wa pikipiki inaingia huko
 
Back
Top Bottom