Wagonjwa ‘ Mabondia ‘ Mkoani Mara wasababisha Uongozi wa Hospitali ya Rufaa Musoma kufunga CCTV Camera

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,873
Sasa ni rasmi kabisa kwamba kama ukiwa ni Nesi au Daktari katika Hospitali ya Rufaa ya Musoma ( Mkoani Mara ) yakupasa kila Siku ulazimike kupata Mazoezi ya ama Ngumi au Karate ili kuweza Kujihami na Kujiokoa na Vipigo vya Wagonjwa wengi Wakorofi na wenye Vina Saba na Ubondia ambao huwa wanalazwa hapo.

Ni kwamba Hospitali ya Rufaa ya Mkoani Mara imeamua Kufunga CCTV Camera katika Wodi zote za hiyo Hospitali ikiwa ni sehemu ya Kuwabaini Wagonjwa wenye tabia ya Kuwapiga Manesi na Madaktari wa Hospitali hiyo huku Wagonjwa wengine kuamua Kuiba Mashuka na Kukimbia nayo Madirishani hali inayosababisha Maumivu na Hasara Kubwa kwa Wahudumu na Hospitali hiyo.

“ Tumeamua Kufunga hizi CCTV Camera hapa Hospitalini Kwetu hasa baada ya Kila Siku kupata Idadi Kubwa ya Madaktari na Manesi wetu hapa ambao huwa wanakuwa na Ngeu za Vipigo vikali na vikubwa kutoka kwa Wagonjwa hali ambayo imetufanya tujiulize kwamba hawa tunaowalaza hapa ni Wagonjwa kweli au labda huwa wanakuwa ni Wanafunzi wa Shule za Ubondia kwani haiwezekani Mgonjwa akawa anapiga Ngumi Kali kama za Tyson huku Dripu ikiwa Mwilini mwake “, alisema Mtumishi wa hapo.

Poleni sana Madaktari na Manesi wa Hospitali ya Rufaa ya Musoma hiyo ndiyo Musoma na huo ndiyo Mkoa wa Mara. Msipobadilika mtanyooshwa sana na hao Wagonjwa Mabondia ambao huwa wanakuja hapo Kwenu ili kupata Matibabu. Ushauri wangu tu Kwenu ni kwamba hebu mjitathmini kwamba kwanini ni nyie tu ndiyo mmekuwa Wahanga wa hivyo Vipigo huenda kuna sehemu huwa mnateleza na kama mnavyojua Kiasili Watu wa Mkoani Mara ( Musoma ) huwa hawataki Upuuzi, Ujinga na Upumbavu hasa linapikuja Suala la haki na Uwajibikaji.

ONYO
Naomba Uzi huu uchangiwe na Watu wote ila kama unajijua kabisa kuwa Wewe ni Mhaya ( kutoka Mkoani Kagera ) au Mnyaturu na Mnyiramba ( kutoka Mkoani Singida ) au Muha ( kutoka Mkoani Kigoma ) au Mrangi ( kutoka Kondoa Mkoani Dodoma ) au Mkara ( kutoka Ukerewe Mkoani Mwanza ) GENTAMYCINE nimesema sitaki Muuchangie kwani najua hamtakuwa na jipya hapa hasa ikijulikana kuwa pia nyie ndiyo Washamba wakubwa na Namba Moja hapa Tanzania.

Nawasilisha.

Chanzo Taarifa: Radio Free Africa Kipindi cha MATUKIO cha leo Jumapili asubuhi tarehe 19 May, 2019.
 
Binafsi musoma ndio nyumbani, unapokuwa umeudhiwa ili kupunguza hasira zisikupe madhara ni lazima umnase kibao aliyekosea, hasa manesi, unakuta anakujibu kama anafanya kazi ya bure.
Ili uelewane na mkazi wa musoma, mweleweshe kwa uungwana kwa yale unayoyafanya na endapo kuna kosa limejitokeza omba samahani na uambatanishe na utani. Ole wako ujibu kwa dharau, hata kama mgonjwa alikuwa hawezi kuamka atakukunja kwa makofi matata.
 
ningekuwa mimi nesi hapo nigekuwa nadunga hao wagonjwa wote nusu kaputi hata kama daktari hajawaandikia ningekuwa najiongeza tu mpaka muda wao wa kutoka hospitali ufike
 
Back
Top Bottom